Joseph midimu
Senior Member
- Mar 8, 2024
- 141
- 210
- Thread starter
-
- #161
Yes,, penye utambulisho apafute tu.Hapana simshauri aitume full kwa sababu Kuna Utambulisho wake wa kiutumishi utakuwa umefahamika kama ataweza azibe sehemu zile za utambulisho ndo atume
Huyo ndugu anajua yeye huko anakotoa Taarifa za uongoWaalimu walioajiriwa mwaka jana wenye degree basic yao ni 822k, na take home ni 676k
Wenye diploma basic 616k take home kwenye 520k
Ngoja niendelee kupenda kibarua changu, maana sijaona bado anaenifikia ingawa bado na malupu lupu pemben yapo.Afya wote wanamzidi Kuanzia diploma na kuendelea..
TGHS B ni diploma Na ni 740,000/=
TGHS C ni Advance Diploma ni 1,040,000/=
TGHS D NI Bachelor ya Manurse na Phamarcy ni 1.2Mil
TGHS E Ni bachelor ya Daktari ni 1.5Mil
View attachment 3042129
Wafanyakazi wa mahakama...
TJs 1.1 ambayo Ni certificate na makarani wenye cheti ni 660k
TJS 2.1 makarani wa Diploma ni 981k
TJS 3.1 mawakili na Maafisa wengine wenye Bachelor 1.39 Milion..
mahakimu na Maafisa wengine waandamizi wanaendelea chini..
View attachment 3042132
Mkuu afisa Ugani anaanza na Mshahara wa TGS C1 ambao ni sawa na Tsh 585k..Niletee salary slip ya Afisa ugani mwenye degree anayelipwa hiyo 585,000
Alafu hakuna variation yoyote ya maisha kwa mtu kukuzidi mshahara wa laki 2, ndio maana ninasema halmashauri ni mulemule tu, kikubwa ni kufikiria nje ya box, kuingiza hata faida ya laki 5 tu kwenye biashara ndio ponapona, maana hakuna mfanyakazi ambaye hajakopa, na sidhani kama mtu anaweza kufanya maendeleo bila kukopa.Ila bado ni kundi la walimu Lote ndo linaonekana bado ninmshahara mdogo Mkuu..
Kwa sababu Kama mwalimu wa Science aliyesoma Kwa shida madude magumu unampa D4..
Huuku Afisa utumishi unampa TGS D1 au TGS E ambayo 900k huoni kama ni uonevu??
ukipanda cheo unaenda kuanza mwanzo cheo kipya, maana yake hao ulio wazidi basic salary utapandanao cheo kipya pamoja na ndo inakuwa mwisho wa iyo tofauti.Ooh naona utofauti wa kama 50,000/= kwa hiyo baada ya kupandisha woote watakua E1? Je utofauti wa 50,000 utakuaje? Au wa art wataongezewa?
Hakuna Uongo hata mmoja niliotoa Nimeshaeleweshwa na Prakatatumba kwamba wao as Walimu wa Sayansi waliongezwa as per Increment 4 kwahyo walianza na D4..Huyo ndugu anajua yeye huko anakotoa Taarifa za uongo
Hapo nimeelewaukipanda cheo unaenda kunanza mwanzo cheo kipya, maama yake hao ulio wazidi basic salary utapandanao cheo kipya pamoja na ndo inakuwa mwisho wa iyo tofauti.
TULETEE YA KUTOLEA PESA,, KAMA HIYO APO CHINI.Mkuu afisa Ugani anaanza na Mshahara wa TGS C1 ambao ni sawa na Tsh 585k..
As per Mshahara ya Mwaka 2022..
View attachment 3042172
Hakuna utofauti na huo mkeka wa Truth Bot AI kwahiyo ni mulemule tu.TULETEE YA KUTOLEA PESA,, KAMA HIYO APO CHINI.
View attachment 3042173
Hayo unaowataja ni sayansi ambao.wamepandishwa increments??Waalimu walioajiriwa mwaka jana wenye degree basic yao ni 822k, na take home ni 676k
Wenye diploma basic 616k take home kwenye 520k
Ahahahaha,, ailete tu.Hakuna utofauti na huo mkeka wa Truth Bot AI kwahiyo ni mulemule tu.
Mkuu haina tofauti na nilichopost nilichopost ni mishahara ya Pamoja..TULETEE YA KUTOLEA PESA,, KAMA HIYO APO CHINI.
View attachment 3042173
Huwezi kuipata kwa sababu mimi sio Afisa ugani ila najua Viwango vyake vya mshahara so nimekupa Viwango kulingana na malipo ya serkali unless utake tuanze kubishanaAhahahaha,, ailete tu.
NIELEWE NDUGU YANGU,, PAYING SLIP NDY NAHITAJI NDG NISAIDIE NIIONE TU YA MWAKA HUU.Mkuu haina tofauti na nilichopost nilichopost ni mishahara ya Pamoja..
Wewe ulichopost ni Paying slip ya Individual so Ni kitu kimoja
Paying slip inatolewa kwa Muhisika..NIELEWE NDUGU YANGU,, PAYING SLIP NDY NAHITAJI NDG NISAIDIE NIIONE TU YA MWAKA HUU.
Ww sio,, mwalimu.?Paying slip inatolewa kwa Muhisika..
Na Viwango vya Mishahara vinatolewa kwa Uongozi wa Taasisi sijui kama unanielewa
Hapana sio mwalimuWw sio,, mwalimu.?
Nikiona salary slip ndio naaminiHuwezi kuipata kwa sababu mimi sio Afisa ugani ila najua Viwango vyake vya mshahara so nimekupa Viwango kulingana na malipo ya serkali unless utake tuanze kubishana