Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mimi take home ni 400kKwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Kwani Mkopo ulilazimishwa kukopa?Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Hii nchi hii ina pesa balaa tatizo la nchi hii nayo ina mchwa balaa.Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?
Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.
Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bunge ni.
Watu wengi tulikuwa tunadhani udaktari ni kazi yenye malipo makubwa hasa tulipokuwa tunasoma A level na O levelKwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Wewe ni mpumbavuKodi,umeme,maji,chakula havifiki laki nne
Hela nyingi hivyo, sisi walimu wa shule za msingi hatutakiwi kutia neno nadhaniKwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Hapo serikalini ulipo Kuna ...Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Jitahidi utoke tamisemiKwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Bora wewe, mwalimu wa degree mwenye basic salary 780,000 makato yake ni almost 300,000 anabaki na laki 5Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Ndio maana una masters na bado unatumwa na wenye diploma!Hapo serikalini ulipo Kuna ...
Masijala wanapokea 300k
Mwanasheria 700k
Mwalimu 400k
Wewe 800k UNALIA?
#YNWA
Unajuwa maana ya PAYE? Kama nyinyi ndio wasomi wenyewe basi tumeliwa.Sema wakuu kodi tunayo lipa serikali ni kubwa sana. 290k Seriously?