Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Daktari masaa yake ya kazi ni 8 tu.
Part time ni uamuzi wako, maximum 3 hours tu ili kulinda ufanisi.
Ni sawa umetoka job ukapitia kwenye mradi wako ukaspend 3 hours. Sio mbaya.
 
na hapo bado ujafokewa na Waziri wa afya
 
madaktari wanaishi maisha magumu sana, ndio maana wapo tayari hata kupokea alfu 20 ya tips,
 
Daktari masaa yake ya kazi ni 8 tu.
Part time ni uamuzi wako, maximum 3 hours tu ili kulinda ufanisi.
Ni sawa umetoka job ukapitia kwenye mradi wako ukaspend 3 hours. Sio mbaya.
Hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ya kazi ila uhalisia kazi za afya Tanzania mtumishi anapiga kazi masaa 10 mpaka 12.
Tunaishi nao tunaona
 
Kataa ajira ni unyonge ni utumwa na ni ukabaila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…