Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Mimi nakatwa zaidi ya 1m , yaani weacha tuSema wakuu kodi tunayo lipa Serikali ni kubwa sana. 290k Seriously?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nakatwa zaidi ya 1m , yaani weacha tuSema wakuu kodi tunayo lipa Serikali ni kubwa sana. 290k Seriously?
Daktari masaa yake ya kazi ni 8 tu.Ahahahah.
Sasa masaa 10 ya kazi plus part time masaa 6 ni masaa 14 plus movement ya kutoka point A to point B lisaa 1-2.
Jumla masaa 17-18.
Kwahiyo Ili apate pesa ya ziada anapaswa kufanya kazi mpaka masaa 17 huoni kuwa huo ni zaidi ya utumwa na kujiua mwenyewe?
na hapo bado ujafokewa na Waziri wa afyaKwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
duhDaktari masaa yake ya kazi ni 8 tu.
mkuu unashindia bisi au!?😂Kodi,umeme,maji,chakula havifiki laki nne
[emoji2][emoji2][emoji2]kawaida hiyo. Mi nalipa kodi 375kHiyo kodi 290,500 wanapeleka wapi,, mbona pesa nyingi hivo,,, duuh?
Teh teh teh futi mia mbiliUnanifananisha, Mimi siyo muajiliwa wa serikali wala private sector.
Mheshimiwa anasema Tanzania ni tamu sanaNa sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?
Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.
Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Bado Katibu mwenezi hajapita kuangalia utekelezaji wa ilani na farasi🐎na hapo bado ujafokewa na Waziri wa afya
babu tale, kibajaji and the likes.Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?
Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.
Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Kamdanganye anaemlan0713! Mamakounataka uongozwe na chama gani, wale CHADOMO ambao wameshindwa hata kujenga ofisi?
madaktari wanaishi maisha magumu sana, ndio maana wapo tayari hata kupokea alfu 20 ya tips,Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Huyu ako na masters ya Mzumbe. Yani ukisikia mwanasiasa ana masters ya Mzumbe basi ujuwe ni Mipango tu.
Hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ya kazi ila uhalisia kazi za afya Tanzania mtumishi anapiga kazi masaa 10 mpaka 12.Daktari masaa yake ya kazi ni 8 tu.
Part time ni uamuzi wako, maximum 3 hours tu ili kulinda ufanisi.
Ni sawa umetoka job ukapitia kwenye mradi wako ukaspend 3 hours. Sio mbaya.
Nikwepe mara ngapi?Kama rahisi we naye kakwepe uone
SIo niende wakati nami nilishakuwa tayariBasi nendeni huko mkawe hao wafanyabiashara maana it seems wana enjoy si ndio!!?
Kabisa,,, Yaan kwa mtu anayeelewa maana halisi ya neno MTUMISHI,,,hawezi kubali kuwa MTUMISHI wa aina yeyoteAjira ni utumwa.Ndio maana mnaitwa watumishi