Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Ahahahah.
Sasa masaa 10 ya kazi plus part time masaa 6 ni masaa 14 plus movement ya kutoka point A to point B lisaa 1-2.
Jumla masaa 17-18.
Kwahiyo Ili apate pesa ya ziada anapaswa kufanya kazi mpaka masaa 17 huoni kuwa huo ni zaidi ya utumwa na kujiua mwenyewe?
Daktari masaa yake ya kazi ni 8 tu.
Part time ni uamuzi wako, maximum 3 hours tu ili kulinda ufanisi.
Ni sawa umetoka job ukapitia kwenye mradi wako ukaspend 3 hours. Sio mbaya.
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
na hapo bado ujafokewa na Waziri wa afya
 
Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?

Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.

Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Mheshimiwa anasema Tanzania ni tamu sana

IMG_20231129_233113.jpg
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
madaktari wanaishi maisha magumu sana, ndio maana wapo tayari hata kupokea alfu 20 ya tips,
 
Daktari masaa yake ya kazi ni 8 tu.
Part time ni uamuzi wako, maximum 3 hours tu ili kulinda ufanisi.
Ni sawa umetoka job ukapitia kwenye mradi wako ukaspend 3 hours. Sio mbaya.
Hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ya kazi ila uhalisia kazi za afya Tanzania mtumishi anapiga kazi masaa 10 mpaka 12.
Tunaishi nao tunaona
 
Kataa ajira ni unyonge ni utumwa na ni ukabaila
 
Back
Top Bottom