Associate Professa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2026
- 561
- 811
Laki8 ni mshahara Mkubwa kumbe😂😂😂 ongeza bidii kwenye kutafuta HelaKazi gani kwa muajiri wa hio salary slip,mtu anaanza na mshahara mkubwa kuliko huo?,...........acheni chuki kama sio unafiki wenu,......kama tu ilivyo U.S.A,U.K,Canada,the leading paying jobs is MD na Tanzania ni hivo hivo tu,......as per uchumi wa nchi husika,...........utasikia bungeni,kariakoo Kuna watu wanapata milioni 10 kwa mwezi,......hata MD wabunge,wafanya biashara wapo,acheni UKUMA
Wote mchwa, Mchwa hawezi kumuhangamiza mchwa mwenzie.Hii nchi hii ina pesa balaa tatizo la nchi hii nayo ina mchwa balaa.
Wenye jukumu la kuwaangamiza mchwa hao nao wamejiunga nao hao mchwa.
Ulivyokuwa unasoma uliambiwa ungekatwa kiasi gani. Km we kwl nj daktari hufai kutibu wagonjwa wetu, huna akili wewe. Makato yapo kwa mujibu wa sheria na siyo kwa madaktari tu,, kwanza hapo makato labda ni kodi tu, HELSB ulitaka nani akulipie, PSSSF ni akiba yako ya uzeeni, we ni daktari uliyekariri hujaelimikaKwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Car-toe-mbweUlivyokuwa unasoma uliambiwa ungekatwa kiasi gani. Km we kwl nj daktari hufai kutibu wagonjwa wetu, huna akili wewe. Makato yapo kwa mujibu wa sheria na siyo kwa madaktari tu,, kwanza hapo makato labda ni kodi tu, HELSB ulitaka nani akulipie, PSSSF ni akiba yako ya uzeeni, we ni daktari uliyekariri hujaelimika
Lassine kouma weweIbaki ya nini inatakiwa iishe si unalipwa kila mwezi?
Kama ungepata nafasi sasa hivi ya kusoma tena ungesomea kozi gani?Watu wengi tulikuwa tunadhani udaktari ni kazi yenye malipo makubwa hasa tulipokuwa tunasoma A level na O level
Kitu ambacho kilifanya hadi kuwadharau watu waliokuwa wanasoma combinations za arts na biashara
Ila uhalisia tunakuja kuujua wakati tushachelewa
Embu tupe ma mshahara wa afisa wa TRA anayeanza kazi.Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Mbunge anapokea 18m halafu baada ya miaka 5 anapata kiinua mgongo cha 400m+Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Acha masihara.. kwa nyumba za dar ama katerero?Kodi,umeme,maji,chakula havifiki laki nne
AsanteLassine kouma wewe
Madaktari watalia😀Embu tupe ma mshahara wa afisa wa TRA anayeanza kazi.
Kodi,umeme,maji,chakula havifiki laki nne
Daktari wa BOT,TPA,analipwa mara 3 ya sociologist wa Tarura😃😀,.......huwezi feli ukakosa kua MD faraja yako ikawa kumponda MD ukabaki salamaSociologists wa Tarura, Tanroads analipwa mara 2 ya daktari wa tamisemi
MD ndio anaongoza kulipwa mshahara mkubwa kwenye hii nchi,70% ya wafanyakazi kwenye hii nchi wapo TAMISEMI na wizarani ambapo MD ndio anawapiga pumbu wote haoLaki8 ni mshahara Mkubwa kumbe😂😂😂 ongeza bidii kwenye kutafuta Hela
Madaktari watalia😀
MD Kila sehemu atayekuepo lazima ampige pumbu kada nyingine,afisa wa TRA,TPA,TMDA,TANESCO ambaye ni MD lazima ampige pumbu accountant,etc....vivo hivyo kwa wizara na TAMISEMIMadaktari watalia😀
Subir Heslb iishe utakuwa unakunja m na point kadhaaKwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Kua Kila aliejiajiri anapata income kubwa kuliko alieajiriwa ?Hii nchi tasisi mbili tuu ndo zinalipwa vzr wengine kiukweli ni huruma ,ukiweza jiajiri.
Kwa maisha yasa pesa ndogo sana