Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

C&P hii mboni ilikwisha andikwa tayari

Umecopy km ilivyo
Cc: Teko Modise
 
Sawa, ila sio wote wana HESLB hiyo ni option tu

NB: hawana posho?
 
Jamani kazi nyingine ni kutoa huduma kwa jamii ukitaka kuwa tajiri kama musk ingia kwenye biashara
Sio Kila biashara unakuwa tajiri wafanyabiashara wengi ni masikini wa kutupa tusidanganyane!!! Pia udaktari salary huongezeka na kufika mpaka millions of money,Wana mikopo,maduka ya dawa,hosp nk kikubwa ni kuvumilia!! Wafanyabiashara wengi tuu wamechoja kimaisha
 
Duuh, kumbe ndio maana wanakomalia wajawazito walipe 150,000 za kuzalishia. Kama huna wanakuacha ufe tu[emoji16]
 
Hivi hua kuna mantiki gani kwenye kunipangia mshahara utakuwa kiasi flani halafu muanze kuukata. Mfano kwa huyu daktari kwanini asiambiwe tu mshahara wako ni hiyo laki 8. Inaumiza kuniambia mshahara wangu ni milioni halafu muanze kuukata
 
Mbona sijaona umejumlisha Posho na CCD
 
Mboja sijaona umejumlisha Posho na CCD
ha ha

Chakula Cha Daktari bado iko?

Marudi ipo pia?

Na faida zilizojificha kem kem.

Ukweli sekta ya Afya bajeti yake ni ndogo mno...hata kufikia 15% ya GDP kwa mujibu wa Azimio la Ouagadougou la miaka 15+ iliyopita bado sana. Safari ni ndefu. Tukifika tutakuwa tumechooooka sana
 
Bado sana ni kama wameitelekeza hivii...
CCD zipo za kutosha mzee tunazifinya sana unaweza ukatoka na 150k kwa siku au 100k siku ikiwa mbaya kwahyo hizo zipo...

Na wakati mwingine tunaziomba kijanja πŸ˜„πŸ˜„
 
dah

best wishes mkuu πŸ‘πŸΎ
 
Bado sana ni kama wameitelekeza hivii...
CCD zipo za kutosha mzee tunazifinya sana unaweza ukatoka na 150k kwa siku au 100k siku ikiwa mbaya kwahyo hizo zipo...

Na wakati mwingine tunaziomba kijanja [emoji1][emoji1]
Hawajui hayo ndiyo maana wako kubeza kila muda .

Ila wangejua kuna watu hata hela ya Bar sio hela ya mshahara wasingedhubutu kupandisha nyuzi hapa

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…