genesis_
Member
- Nov 9, 2023
- 81
- 117
Tumemaliza mkuu, huna baya🤣🤣🤣Ahsante kwa taarifa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumemaliza mkuu, huna baya🤣🤣🤣Ahsante kwa taarifa...
Umesahau 10% ya zaka kanisani, jumla 55% [emoji3][emoji2][emoji2][emoji2]mzee raia tukiweka salary slip hapa mbona utakimbia
Imagine: 10% NSSF , 15% HESLB, arround 20.% PAYE, :
Chap tu 45% ya mshahara si yako.
Halafu Elimu yake ni ya darasa la saba.Kuna mtu anaingia bungeni anasinzia tu, akishtuka anagonga gonga meza kikao kikiisha anapokea posho, jioni unamkuta rainbow au bambalaga, then mwisho wa mwezi anakunja mara 10 ya hicho kipato. Amaa kweli dunia uwanja wa fujo
Motivation speaker, hivi unajuwa hata school fees English medium ni bei gani?Inategemea hiyo ajira, uanlipwa ngapi, sasa Mimi napokea 7M net, kila mwezi, na save 5M, kwa miaka 15 nitakuwa na 900M!kama ni utumwa Wacha ni we mtumwa tu!
Hata ukijiajiri, lazima Uwe mtumwa wa wateja,
Kwahiyo Mungu anachukuwa maokoto anakwenda nayo vacation?Sadaka ni shukurani
Pesa nyingi Ni kiasi gani?800k ndogo sana. Hasa kwa huu mfumuko wa bei. Labda kama kuna posho wanapata huko ofisini.
We mwanajeshi ushafyeka nyasi kipande chako leo?Kama hana posho nyingine hapo Mimi mlinzi nampiga gape vizuri.
Asante Mungu, nilijua nimepotea huku kumbe hapana
Hapo kwenye akili timamu sio muhimu saaaanaHalafu Elimu yake ni ya daresa la saba.
Sifa za mbunge anatakiwa ajue kusoma na kuandika na awe na akili timamu
Dada hujui sheria za kazi vizuri. Mwajiri kukulipia bima hiyo alikupa as a fringe benefit, sio haki.Nilivyokuwa nafanya kazi zakuajiriwa ni kodi na nssf tu ndio wanakata bima za afya tunalipiwa. Sasa nyie serikali inakuaje hawalipii
Ni haki yangu kulipiwa kwa maana najituma ili mambo ya kampuni yaende sawaDada hujui sheria za kazi vizuri. Mwajiri kukulipia bima hiyo alikupa as a fringe benefit, sio haki.
Kwa serikalini, bima unalipia asilimia 6 inaweza kuwa mwajiri 3 nawewe 3 au zote 6 ulipe mwenyewe.
Nimependa ulivyoweka na zaka we ni mtu makini sana, tusimuibie Mungu fungu lakeUmesahau 10% ya zaka kanisani, jumla 55% [emoji3]
Kuna dada kaacha kazi yake-yeye ni nesi....kajikita kwenye upishi wa bites maisha yanaenda fresh kazi hataki hata kuisikiaUzuri wake sio lazima kufanya hiyo kazi, ukiona mshahara mdogo unaacha , simple tu
Kumbe sio mimi pekee ninayewachanganya Dr Matola PhD na Liverpool VPNKwenye ule uzi wako WA kuhusu tamisemi Si ulisema kua piga ua lazima utoke LGA?
Hakuna daktari wa diplomaKwani Mkopo ulilazimishwa kukopa?
Pili watu wanaangalia posho zaidi sio hizo salary
Mwisho Daktari wa degree au Diploma?
Mimi siwezi kuajiliwa na Tamisemi wala serikali kuu.Kumbe sio mimi pekee ninayewachanganya Dr Matola PhD na Liverpool VPN
Hahaha, sio haki ni fringe benefit tu kwa maana hakuna sheria inayombana mwajiri akulipie bima in full.Ni haki yangu kulipiwa kwa maana najituma ili mambo ya kampuni yaende sawa
Lakini wanajenga maghorofa mbona, hela wanatoa wapi???Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
YemenNi Uarabuni ipi yenye mazingira mazuri?
Labda kama anakula mkate na chai ya rangiKodi,umeme,maji,chakula havifiki laki nne