Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

Kilimanjaro hasa vijijin fahari ya watu Huwa ni makazi,no wonder Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa makazi bora vijijin
 
Picha ya huu mjengo ndo umefanya Masanja sasa hivi analilia ndani ya blanketi, Watu wana maneno bwana, Et ndg wa marehemu katibu wakachukue damu yao..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii picha inahusianaje na stori ya Masanja?
 
Huna Akili,sifa kuu ya watu WA Kilimanjaro ni kujenga makazi ya kisasa kwao
Ndio maana Kilimanjaro ni mkoa Namba Moja kwa makazi bora vijijin
Sasa Akili Yako mfu ya kujenga Jumba la nyasi Kijijin ndio bora? Mjenge kwenu muache kuishi nyumba kama mabanda ya mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…