Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

Nyumba iko wap sasa
Hapa ni machame sio ulayaView attachment 2812634
1699819608691.jpg
 
Kitendo cha kujenga kijijini alipozaliwa ni Ishara kwamba tulipozaliwa ni muhimu kuliko tulipokulia au tunapigia mishemishe.

Wote tungejenga makwetu na kupaendeleza leo tusingekuwa na vijiji tungekuwa na mitaa nchi nzima

Wapo viongozi hapa nchini hata nyumba ya kawaida tu kwao hawana. Mawaziri wengi vijijini kwao hakuna nyumba, wabunge ndo usiseme bila kusahau makatibu wakuu na wakurugenzi .


Tungekuwa na sera yakujenga vijijini hata umeme na maji, barabara na huduma za afya isingekuwa shida

Ile nyumba ya Mbowe haikosi umeme, maji yapo, hospital lazima ipo karibu nk

Ila vyote hivyo vimepelekwa kwa sababu watu wamewekeza

Sisi watu wa kanda ya ziwa tutaendelea kulalamika ila ukweli lazima tukubali vijijini tulipotoka.......JPM alifanya kile mwanasiasa anapaswa kufanya kwao......let us think about our home villages
Kilimanjaro hasa vijijin fahari ya watu Huwa ni makazi,no wonder Kilimanjaro ni mkoa unaoongoza kwa makazi bora vijijin
 
Picha ya huu mjengo ndo umefanya Masanja sasa hivi analilia ndani ya blanketi, Watu wana maneno bwana, Et ndg wa marehemu katibu wakachukue damu yao..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii picha inahusianaje na stori ya Masanja?
 
Katika mikoa isiyojielewa Tanzania hii mmojawapo ni mkoa wa Kilimanjaro

Wabunge wao wote na viongozi wa juu Chadema akiwemo, Mbowe na MREMA makazi yao ya kudumu yako Dar

Kule huwa wanaenda tu kulaggai wachaga wapate mlo Dar kwenye makazi yao ya kudumu

Lisu ,Mbatia pia hivyo hivvyo hulaghai kwao wawape kura ili wakishinda wale bata Dar essalaam ambaki ndiko wana makazi ya kudumu

Wanaacha kuwapa kura wakaa kudumu Kwao wanawapa mikazi ya kudumu ya Dares salaam
Huna Akili,sifa kuu ya watu WA Kilimanjaro ni kujenga makazi ya kisasa kwao
Ndio maana Kilimanjaro ni mkoa Namba Moja kwa makazi bora vijijin
Sasa Akili Yako mfu ya kujenga Jumba la nyasi Kijijin ndio bora? Mjenge kwenu muache kuishi nyumba kama mabanda ya mbwa
 
Back
Top Bottom