Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Walilenga makazi binafsi Yani nyumba binafsi. Nafikili walilifikili atakuwepo hapo.
 
Wale wako pembeni hawapati athari ya moja kwa moja na huyo msabato huwezi kumwambia mtu wa gaza ambae mizaituni yake inachomwa kila wanapojiskia akae mbali hio itakua ni akili kweli
Israel anaishi na binadamu kwa kadiri unavyoishi nae, kifupi ukimtendea mema atakulipa mema na kinyume chake, ukiua mmoja ataua wako 1,000
 
Wanasema hakuna casualty,lakini ambulance ilionekana hapo
Sehemu yoyote ambako kutatokea mlipoko lazima watu wa afya wawepo.
Benja sio mjinga namna hio mpk akae nyumbani kwake kwenye nyumba binafsi na sio ikulu.
Yani Samia aache kukaa sehemu salama akaake nyumbani kwake.
 
Vita baina ya Israel na Hezbollah au Hamas ni zaidi ya vita na Nasrallah au Sinwar:



Kwamba hao wakiwa marehemu sasa nyumba ya Natenyahu chakari?

Kwa hakika huu ndiyo ulio ukweli mchungu:

"Vita mashariki ya kati si vita vya Sinwar, Nasrallah au Ali Khamenei."

Hadi jitihada zitakapowekwa kwenye kuisaka haki kwa dhati, bado sana!
 
So ATAKUWA AMEKUFA??? 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…