Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Walilenga makazi binafsi Yani nyumba binafsi. Nafikili walilifikili atakuwepo hapo.
 
Wale wako pembeni hawapati athari ya moja kwa moja na huyo msabato huwezi kumwambia mtu wa gaza ambae mizaituni yake inachomwa kila wanapojiskia akae mbali hio itakua ni akili kweli
Israel anaishi na binadamu kwa kadiri unavyoishi nae, kifupi ukimtendea mema atakulipa mema na kinyume chake, ukiua mmoja ataua wako 1,000
 
Vita baina ya Israel na Hezbollah au Hamas ni zaidi ya vita na Nasrallah au Sinwar:

IMG_20241019_120207.jpg


Kwamba hao wakiwa marehemu sasa nyumba ya Natenyahu chakari?

Kwa hakika huu ndiyo ulio ukweli mchungu:

"Vita mashariki ya kati si vita vya Sinwar, Nasrallah au Ali Khamenei."

Hadi jitihada zitakapowekwa kwenye kuisaka haki kwa dhati, bado sana!
 
Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa israel huko caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya israel,drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za israel
IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo ambulance imeonekana hapo
Mashuhuda wanasema mlipuko ulikua mkubwa

Drone launched at Netanyahu home in northern Israel, spokesman says​

By Reuters
October 19, 202410:21 AM GMT+3Updated 19 min ago



JERUSALEM, Oct 19 (Reuters) - A drone was launched towards Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's home in the northern Israeli town of Caesarea on Saturday, his spokesman said, adding that the premier was not in the vicinity and there were no casualties.
Earlier, the Israeli military said that a drone was launched from Lebanon
So ATAKUWA AMEKUFA??? 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom