The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
ππ€£π€£ Hata kama haishi hapo kitendo cha Hiyo drone kufika ktk Hiyo nyumba bila drone Hiyo kuonekana inalitia dosari jeshi la ulinzi la Israel na Taifa zima Kwa ujumlaHakuna jipya maana netanyahu haishi hapo tena.........
Wajukuu zake na wale ndugu lawama wote wanao kaa kula kulala kwishnei maana ni shambulio la kushtukiza vitu vilipita nyuma ya helkopta zao wenyewe
ππ€£π€£ Hata kama haishi hapo kitendo cha Hiyo drone kufika ktk Hiyo nyumba bila drone Hiyo kuonekana inalitia dosari jeshi la ulinzi la Israel na Taifa zima Kwa ujumla
Endeleeni kumuombea mme wenu kavunjwa kiuno na HezbollahBeirut itawaka very soon.
Kuuliwa kwa Netanyahu si leo au kesho, ila yeye najua lazima amuue Ayatollah
Aisee...ngoja wajibiwe
Gaza alipomuua YahyaAnaishi wapi?
Ndio hiyo waliua 1200 Octoba 7, mwaka jana, wameshakufa 42,000 so sad waliosababisha Hili. Na vita nzuri kusikia kwa jirani tu isikufikieVice versa is true
Huo utopolo wa US ni mavi tu kwa Hezbollah na Iran wanawaoneaga Gaza tu kwa sababu wanatumia maweTHAAD ilikuwa wapi haijazibiti hiyo drone
Poleni mme wenu kavunjwa kiuno na Hezbollah hataweza kuwashughulikia tena
chizi maarifa kwahio unanilngishia watu waliouawa katika njia ya mwenyezi Mungu? Unajua malipo ya hao watu kweli mbele ya haki? Watu wengi tu wamesherehekea shujaa, ni sawa mtu leo aje anilingishie kifo cha CHE GUAVARA nitamuona hazitoshi tuu.
Kwa hio mkuu ausubuhi anatokea shimoni kuelekea ofisini ππTangu kuanza kwa vita Netanyau haishi nyumbani kwake bali anaishi kwenye handaki.
Nyie ndio wale baba amekufa linakuja jamaa kumchukua mama ako linakaa nae nyumba aliijenga babaako kwakua ni li askari magereza wewe unaliacha unalipa na funguo za gari ya babako kwa uogaNdio hiyo waliua 1200 Octoba 7, mwaka jana, wameshakufa 42,000 so sad waliosababisha Hili. Na vita nzuri kusikia kwa jirani tu isikufikie
Anafikiri serikali ya Israel ni sawa na serikali ya CCM, na sio mlipuko tu incident yyte hata kama ni ndogo.Sehemu yoyote ambako kutatokea mlipoko lazima watu wa afya wawepo.
Benja sio mjinga namna hio mpk akae nyumbani kwake kwenye nyumba binafsi na sio ikulu.
Yani Samia aache kukaa sehemu salama akaake nyumbani kwake.
Anayefuata ni AyatullahSafari hii Netapusi atauota moto ambao hakuutarajia.
Hasira za nini maalim?Pole na Msiba wa Yahya SinwarPoleni mme wenu kavunjwa kiuno na Hezbollah hataweza kuwashughulikia tena
Kichapo anachokula hezbullah utashukuru kile cha IranHuo utopolo wa US ni mavi tu kwa Hezbollah na Iran wanawaoneaga Gaza tu kwa sababu wanatumia mawe
Itafika mahala watajua kwa nini Jordan, Egypt, Saudis, UAE wamekaa pembeni, sio wajinga kushindana na mtu aliyekuzidi ni ujinga, ndani kabisa ya mifumo ya kiusalama ya Iran, Israel kapandikiza Mossad waarabu wenzao ndio maana anapata taarifa za uhakika hata location za viongozi wao na mipango yao mapema sana. Rais mstaafu wa Iran Ahmednajjad amekiri waliwahi kugundua mawakala 20 ndani ya kitengo maalumu cha kupambana na Mossad. Hata kifo cha Ibrahim Rais kwa ajali ya Helkopta ni shughuli ya Mossad, kuunganisha dots kumbuka kulipuliwa kwa pagers za wapiganaji wa Hezbollah tu huko Lebanon