Maketa: Tendo la ndoa kinyume cha maumbile ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Wadada wakitaka kukinukisha na kuvunja ndoa hawatumii nguvu

Anatoa lalamiko tu ukweni "nalazimishwa kuingiliwa kinyume na maumbile"

Na ndoa inavunjwa chap
wanatumia Sana hii Sasa hivi,Kuna rafiki yangu alilia sana ukweni[emoji16][emoji16][emoji16]
alimuacha hapo hapo mkewe!
 
mkuu nchi gani hii [emoji16][emoji16][emoji16]
 
HUNA AKILI

Zile pampas za watu wazima kule famasi zimewekwa urembo ee
Kuna waliopata stroke,Kuna vilema ambao mazingira yao wanaposafiri yanakuwa magumu kujisaidia hivyo huvaa n.k

jamaa anasema UKWELI!!iko proven ,wengi wanachanganya Hali ya kutokwa haja kubwa wakati wa kujifungua na tendo la kukngiliwa kinyume na maumbile,HAPANA!huwa inatokea wakati anapush na ni kawaida hyo ishu kutokea
 
Kufikia hapo utakuwa huna ujanja tena.
Ukiendelea na ubishi,
Atawasilisha hoja mbaya zaidi[emoji23][emoji23]
Kumharibia unakubali unasema ni kweli na ninaomba msahamaha ila sasa mbona wale wanaume wawili amewapa huo mchezo. Anasema mimi nina maumbile makubwa nitamuumiza ila wale wa nje mbona uliwapa hiyo firigisi halafu mimi unanikatalia hadi unavunja Ndoa?!

Hapo lazima tuonekane sote ni waajabu na hatujielewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spirits za uzinifu zimejaa kila kona ndio maana wanawake wanapoona wanawake wenzao wapo ndani ya ndoa huwa hawapendi na watafanya kila jitihada hiyo ndoa isidumu.

Pia wanaume hawaogopi wake za watu. Wanavunja sana ile amri ya usitamani mke wa mtu mwingine. Wao watafanya kila namna wamtake na kujaribu kulala na mke wa tu. Halafu wakifanikiwa kwani wanaoa basi, wanachezea na kuishia kupotezea. Mwanamke anabakia na majuto.

Kimsingi kuna shetani wa uzinzi ametawala sababu wanajamii wanamuabudu na namna zake anazoshawishi wao wamtukuze. Tukiyarejea maandiko na kutekeleza mafunzo ya imani na maadili ya jamii huyi shetani wa uzinzi hana nguvu ya kuwamudu raia wenye maadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hata ukimfuata ukamuulize kilichokufanya utangaze hiyo habari ni nini utagundua kuwa alitumia mihemuko na hakushirikisha akili sawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee Kuna namna nyingi za kulinda heshima yako juu ya uwapendao na kuwaheshimu!!wakati tupo wadogo Kuna matendo ambayo tulikatazwa tusifanye lakini tuliyafanya ila kwa kujificha lakini haikumaanisha kuwa hatuheshimu ama kuwapenda wazazi wetu[emoji16]
 
Ukizingatia wanaume sio wepesi kujitetea.
 
ukweli mtupu umenena ila kuishi Dunia ya Wanyama na wewe ni binaadamu yahitaji moyo na imani kubwa Sana!kuna wakati unajitahidi kuwa msafi lakini wale unaowaonyesha wema wako wanakuona mavi mwisho wa siku,unawapenda watu lakini mwisho wa siku haohao uwapendao unagundua Kuna yao waliyoyataka kwako na sio wanakupenda,unahehimu wake za wenzako lakini wenzako wako busy kumshawishi mkeo wamgegede,unafanya kazi kwa juhudi na kuwatakia kheri wenzako kazinj lakini wao wanakuvizia wakumalize yaani kila Kona NI usaliti,usaliti,usaliti...uUWANJA MKAVU UMEJAA MIBA,WATU WANACHEZA RAFU NA REFARII KAUZU...MUNGU atusaidie SPIRITS CHAFU KILA SEHEMU
 
Tatizo jamii imeamua kuwasikiliza wanawake kuliko wanaume na wanaume wameamua kukaa kimya mwanamke anafanya madudu yake anajificha kwenye suala la kuombana mzigo kinyume ili apoteze ushahidi.
Ila kwasasa gharama wanayoingia jamii yenyewe imeshaanza kuona ukweli kuwa ndio maana miaka ya nyuma mwanamke alikuwa haruhusiwi kuongea popote au chochote kwenye kikao ambacho wanaume wapo.

Hawa viumbe nilikuwa nawatetea sana kupewa equal voice ila aiseee kumbe mababu waliona mbali. Ulimi wa mwanamke asiye na hekima una maneno ya kuharibu na kusababisha uozo usio na mwisho.

Leo ona huyu ameruhusiwa kuongea kwa niaba ya taasisi aseme mambo au changamoto za kimsingi yeye anaelezea hisia zake vitu ambavyo vinasusimua ubongo wake.

Na usikute hata yeye hii michezo anawaza kujaribu. Sasa wewe mtendaji wa taasisi kama Ustawi kweli ukaongelee maswala ya wanawake kuliwa tigo as if ni some sort of normal issue tena kwenye media ili iwaje?!

Hivi ni kweli tukichukua sampuli ya ndoa 100 randomly katika hizo ndoa 300,tukisema tuchukue ndoa 100 halafu tuwahoji kuhusu maswala ya kulana kinyume na maumbile then tupime matokeo.

Kwa maneno ya huyu afisa inabidi tupate asilimia 80% ya wanandoa ambao wamekutana na hiyo changamoto of which nakataa hadi kesho kutwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aya ya mwisho nimeielewa sanq. Na unakuta hao viongozi wa asasi za kutetea wanawake hawana ndoa. Wamama wanatuvimbia majumbani na kujigeuzq wateja wa kudumu wa madawati ya jinsia polisi, ustawi wa jamii. Mwisho mwanaume kwa kuona usumbufu anaamua kukimbia familia.
 
Malaya /kahaba huwa haachi asili yake. Ndio maana ni vema sana kumkagua mama mkwe na binti yake kwa undani ili kuelewa pattern ya tabia walizo nazo.

Kimsingi kuna watu wanaingia katika NDOA ili tu kutimiza ile jina kuwa waliingia katika ndoa na kuitwa mke wa fulani. Ila ndani ya nafsi zao hii taasisi hawaitambui kama ni taasisi ya kuheshimiana na kutetea na kuipambania.

Unakuta mtu anaacha kufanya mahusiano ya ndoa anafanya vituko, what for?!

Si mtu utulizane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari hii duuh
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna siku tulikaa na dada m'moja anafanya kazi wilayani. Alikuwa anatulezea namna wanaandika ripoti za tafiti za maswala ya kijinsia na watoto wa kike.

Dah aiseee nilisikitika sana. Kuna upikaji mwingi wa data na report nyingi zimebeba makadirio yasiyofanana na uhalisia.

Kimsingi hawa wadada mawizarani wapo kimasilahi binafsi hawapo hapo kulitumikia taifa kama taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafiti wake umeelemea jinsia ya ke, huyo mtafiti atuambia sample space yake ina wanaume wangapi aliowahoji, la sivyo utafiti wake utakuwa batili. Kuna kila dalili yeye ni wakala wa ufeminist ambao lengo lao hasa ni kuvunja ndoa za watu
 
Kuna uhitaji mkubwa sana wa kumuomba Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…