babu kavu
Senior Member
- Jul 4, 2022
- 120
- 128
wanapasafisha kule panakuwa pasaafi,hutaamini Kama ndio panapotokea kiniesi[emoji16][emoji16]Majitu hayaoni kinyaa unachomeka kwenye .... mmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanapasafisha kule panakuwa pasaafi,hutaamini Kama ndio panapotokea kiniesi[emoji16][emoji16]Majitu hayaoni kinyaa unachomeka kwenye .... mmmh
wanatumia Sana hii Sasa hivi,Kuna rafiki yangu alilia sana ukweni[emoji16][emoji16][emoji16]Wadada wakitaka kukinukisha na kuvunja ndoa hawatumii nguvu
Anatoa lalamiko tu ukweni "nalazimishwa kuingiliwa kinyume na maumbile"
Na ndoa inavunjwa chap
mkuu nchi gani hii [emoji16][emoji16][emoji16]Mfumo wa kielimu wa kizuzu unatuletea wataalamu mazuzu, huyu social officer atupe takwimu za utafiti wake!,scientists wame prove kuwa anal sex sio tatizo kabisa as far as wahusika wanakubaliana,na anal sex haiathiri kabisa wakati wa kujifungua, kuna nchi hapo SADC hii kitu ni ya kawaida na akina mama wanazaa watoto wenye afya njema na wazuri!,science ijibiwe na science sio mihemiko au politics
Kuna waliopata stroke,Kuna vilema ambao mazingira yao wanaposafiri yanakuwa magumu kujisaidia hivyo huvaa n.kHUNA AKILI
Zile pampas za watu wazima kule famasi zimewekwa urembo ee
Tukiwaambiwa wanawake ambao hawapo katika ndoa si wa kukwekwa kwenye taasisi nyeti kama ustawi wa jamii ni kwasababu vitu kama hivi. Wanakujaga na hoja za kutunga yaani upumbavu kama huu walioreport.Maana ake ndo zote zinazovunjika wenye hatia Ni Wanaume TU[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumharibia unakubali unasema ni kweli na ninaomba msahamaha ila sasa mbona wale wanaume wawili amewapa huo mchezo. Anasema mimi nina maumbile makubwa nitamuumiza ila wale wa nje mbona uliwapa hiyo firigisi halafu mimi unanikatalia hadi unavunja Ndoa?!Kufikia hapo utakuwa huna ujanja tena.
Ukiendelea na ubishi,
Atawasilisha hoja mbaya zaidi[emoji23][emoji23]
Spirits za uzinifu zimejaa kila kona ndio maana wanawake wanapoona wanawake wenzao wapo ndani ya ndoa huwa hawapendi na watafanya kila jitihada hiyo ndoa isidumu.Hata mimi siwez kuamini eti sababu ni hyo,baadhi ya wanaume tunatamani huko lakin sio mpaka tunapelekea kuvunja ndoa zetu
Kwanza mkeo huwez fanya hzo mambo maana utaumbuka siku akienda kujifungua manesi watakuona jinga haswa
Ndoa siku hz zinavunjika kirahis sababu ni wanawake kujiona wanaweza pata maisha mazuri zaidi nje ya ndoa kutokana na madanga kumwaga pesa hovyo hasa kwa jiji la dar kuna mamwanaume yanahonga utazan mbususu zimebadilika utamu
Yaani hata ukimfuata ukamuulize kilichokufanya utangaze hiyo habari ni nini utagundua kuwa alitumia mihemuko na hakushirikisha akili sawa sawa.Naungana na wewe
Kutokana na wanawake kuwa na tamaa na ndoa kuwashinda, wanapokwenda ktk ustawi wanakwenda kusingizia vtu vya uongo
Ni nadra sana mwanaume kumwomba mke wake kufanya kinyume na maumbile..
Hii sababu inaelezwa na wanawake ili kupata huruma ya kuhalalisha kuachana na mumewe.
Afisa ustawi wa jamii amepotosha na anapotumia chombo kikubwa cha habari kusema hivyo anazidi kuharibu
aisee Kuna namna nyingi za kulinda heshima yako juu ya uwapendao na kuwaheshimu!!wakati tupo wadogo Kuna matendo ambayo tulikatazwa tusifanye lakini tuliyafanya ila kwa kujificha lakini haikumaanisha kuwa hatuheshimu ama kuwapenda wazazi wetu[emoji16]Mbona unajichanganya, mara mnaheshimu wake zenu, mara hamuwezi haribu mlipowekeza hapo hapo mara sijui kakuona takataka sasa unaewekeza vipi kwenye takataka kama wewe si ndio takataka +++
Hizi heshima zenu za ajabu ajabu mnazodai mko nazo kwa wake zenu zinashangaza kidogo. Unamsaliti vipi mtu unayedai unamuheshimu?
Basi kwa heshima hizo ndio wake zenu hao wamesema mnawaomba huko, na si mara ya kwanza haya yanasemwa.
Hivyo mjitafakari mnakoelekea kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Umetudhalilisha na kutukosea sana watanzania na waafrika kwa ujumla kwa hii comment yako. Sikutegemea mtu aseme maneno kama haya especially mtanzania.Vipi mkuu inaonekana comment yangu ipo very controversial,ninaifuta
Ukizingatia wanaume sio wepesi kujitetea.Utafiti wake unakosa kitu kimoja,Wanawake wengi wakitaka kuvunja ndoa zao wanasingizia kwamba wameombwa unyumba huko kwenye hio njia.Hii nimeshuhdia kwa watu wangu wa karibu.Unakuta mwanamke anatafuta kisa ambacho shahidi atakuwa ni yeye mwenyewe na anajua akisema tu hivyo anakuwa amekufedhehesha so unajikuta huna namna zaidi ya kukosa nguvu.
ukweli mtupu umenena ila kuishi Dunia ya Wanyama na wewe ni binaadamu yahitaji moyo na imani kubwa Sana!kuna wakati unajitahidi kuwa msafi lakini wale unaowaonyesha wema wako wanakuona mavi mwisho wa siku,unawapenda watu lakini mwisho wa siku haohao uwapendao unagundua Kuna yao waliyoyataka kwako na sio wanakupenda,unahehimu wake za wenzako lakini wenzako wako busy kumshawishi mkeo wamgegede,unafanya kazi kwa juhudi na kuwatakia kheri wenzako kazinj lakini wao wanakuvizia wakumalize yaani kila Kona NI usaliti,usaliti,usaliti...uUWANJA MKAVU UMEJAA MIBA,WATU WANACHEZA RAFU NA REFARII KAUZU...MUNGU atusaidie SPIRITS CHAFU KILA SEHEMUSpirits za uzinifu zimejaa kila kona ndio maana wanawake wanapoona wanawake wenzao wapo ndani ya ndoa huwa hawapendi na watafanya kila jitihada hiyo ndoa isidumu.
Pia wanaume hawaogopi wake za watu. Wanavunja sana ile amri ya usitamani mke wa mtu mwingine. Wao watafanya kila namna wamtake na kujaribu kulala na mke wa tu. Halafu wakifanikiwa kwani wanaoa basi, wanachezea na kuishia kupotezea. Mwanamke anabakia na majuto.
Kimsingi kuna shetani wa uzinzi ametawala sababu wanajamii wanamuabudu na namna zake anazoshawishi wao wamtukuze. Tukiyarejea maandiko na kutekeleza mafunzo ya imani na maadili ya jamii huyi shetani wa uzinzi hana nguvu ya kuwamudu raia wenye maadili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwasasa gharama wanayoingia jamii yenyewe imeshaanza kuona ukweli kuwa ndio maana miaka ya nyuma mwanamke alikuwa haruhusiwi kuongea popote au chochote kwenye kikao ambacho wanaume wapo.Tatizo jamii imeamua kuwasikiliza wanawake kuliko wanaume na wanaume wameamua kukaa kimya mwanamke anafanya madudu yake anajificha kwenye suala la kuombana mzigo kinyume ili apoteze ushahidi.
Aya ya mwisho nimeielewa sanq. Na unakuta hao viongozi wa asasi za kutetea wanawake hawana ndoa. Wamama wanatuvimbia majumbani na kujigeuzq wateja wa kudumu wa madawati ya jinsia polisi, ustawi wa jamii. Mwisho mwanaume kwa kuona usumbufu anaamua kukimbia familia.ustawi wa jamii huwa nawashangaa sana, ni waongo na hawajui vitu mno. kwamba kweli ndoa zinaachika kwasababu ya kuomba tigo? Noo, nijuavyo, anaume wanaojielewa uwa hawawaingilii kirahisi au hata kuanzisha tu icho kitu kwa " mke wake", wengi hufanya huko kwa michepuko. pia, ukiona mtu anamwingilia mke kinyume na maumbile jua walianza kufanya hivyo tangu wakiwa wachumba hadi wakaoana. hakuna mtu mwenye ujasiri wa kumwomba tigo mke wa ndoa, labda kama amelewa na hata akiwa amelewa akijirudi kwenye akili zake huwa wanaomba radhi.
kinachovunja ndoa nyingi ni feminism, wanawake kujifanya wapo sawa na wanaume, pia uzinzi na maisha magumu. wanaume wanashindwa kuwatunza wake zao na familia kiasi kwamba wake huwa wanajikuta wamechepuka bila kujipendea na wakizoea ndio dharau zinazidi na siri hizo zikifichuka ndio magomvi yanaingia kwenye familia hadi kuachana. pia, wanaume kufumaniwa au kujulikana na wake zao kuwa wanatembea na michepuko, magonjwa ya zinaa n.k, ndio vyanzo. ila sio kweli kwamba kuombana tigo ndio kiwe kigezo. hakuna mwanaume anayempenda mke wake anayeweza kumwomba tigo, hayupo, na ukiona mwanamke anatoa tigo ujue walianza kabla hawajaoana na wamekuja kuendeleza kwenye ndoa na kwa sababu hiyo mwanamke huyo hana haja ya kulalamika.
kuna demu mmoja aliwahi kunishirikisha hizo tigo kwamba bwanake anamtaka tigo, na yeye hatatoa tigo labda mumewe aweke cruser hapo nje kwamba atamnunulia kama zawadi. nilishangaa kumbe likiwekwa cruser hapo anaweza kutoa tako, na kwasababu hiyo hata kama hatato akwa mumewe mchepuko huko nje ukiweka mzigo hapo anatoa kiurahisi tu. ujinga mtupu.
kitu chengine, watu kama kina joyce kiria na takataka zengine za gender huko, wanaharibu sana akili za wanawake.
Malaya /kahaba huwa haachi asili yake. Ndio maana ni vema sana kumkagua mama mkwe na binti yake kwa undani ili kuelewa pattern ya tabia walizo nazo.Kama angefanya research ya akili kubwa angegundua kuwa makahaba yaliyoenda kujificha kwenye nyumba za ibaada ili kuolewa ndiyo chanzo kikuu.
Maana yakikosa ule uhuru wa kujirusha husingizia mme kumtaka kinyume na maumbile ili ndoa ivunjwe. Ikiisha vunjwa yanarudi jalalani kuendeleza uchafu wao wa awali.
Na pili ni ugumu wa maisha unaochagizwa na tozo lukuki zilizoidhinishwa na awamu hii ya sita
Hatari hii duuhAfisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha SupaBreakfast ya East Africa Radio mara baada ya taarifa kuonesha kwamba kila mwezi ndani ya jiji la Dar es Salaam takribani ndoa 300 zinavunjika.
"Kumekuwa na mahusiano mapya (Kwa wanandoa) yanayopelekea wakati mwingine kuomba kuwa na mahusiano kinyume na maumbile hicho kimekuwa ni moja ya kitu ambacho kimekuwa kikivuruga ndoa nyingi na watu mwisho kuachana, tuachane na hizo tabia tunazozi-copy na tuishi maisha yanayompendeza Mungu,"amesema Joyce
====
Haya yanajiri baada ya kamati ya Bunge ya huduma na Maendeleo ya jamii kutoa ripoti Septemba 5, 2022 iliyoelezea kuwa mkoa wa Dar es salaam unaongoza kwa uvunjifu wa ndoa nyingi nchini ambapo wastani wa ndoa 300 huvunjika kila mwezi.
Kamati hiyo ilibaini pia kuwepo kwa mmomonyoko mkubwa wa maadili na ukatili mkubwa wa kijinsia hasa ule unaohusisha watoto.
EATV
Kumharibia unakubali unasema ni kweli na ninaomba msahamaha ila sasa mbona wale wanaume wawili amewapa huo mchezo. Anasema mimi nina maumbile makubwa nitamuumiza ila wale wa nje mbona uliwapa hiyo firigisi halafu mimi unanikatalia hadi unavunja Ndoa?!
Hapo lazima tuonekane sote ni waajabu na hatujielewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku tulikaa na dada m'moja anafanya kazi wilayani. Alikuwa anatulezea namna wanaandika ripoti za tafiti za maswala ya kijinsia na watoto wa kike.Tukichukulia realty ni percent ndogo sana,ndogo mno ya wanaume walio ktk ndoa wanaothubutu kuomba huo ujinga kwa wake zao hata kama ni wanywa pombe mpaka wakapitiliza.
Iko hivi,mwanaume hana asili ya kubomoa nyumba yake kama akitaka huo mchezo atautafuta kwa wanawake wa nje na hakosi wa kufanya nae.hizi tafiti za kufanywa na wanawake kuhusu wanaume obviously haziwezi kuwa sahihi kutokana na hawajui uanaume ulivyo.
Kuna uhitaji mkubwa sana wa kumuomba MunguAfisa Ustawi wa Jamii wa Jiji la Dar es Salaam, Joyce Maketa, amesema kwamba miongoni mwa mambo yanayovuruga ndoa hadi kupelekea wanandoa kuachana inasababishwa na wanaume kuomba mahusiano kinyume na maumbile.
Kauli hiyo ameitoa hii leo Septemba 6, 2022, jijini Dar es Salaam, kwenye kipindi cha SupaBreakfast ya East Africa Radio mara baada ya taarifa kuonesha kwamba kila mwezi ndani ya jiji la Dar es Salaam takribani ndoa 300 zinavunjika.
"Kumekuwa na mahusiano mapya (Kwa wanandoa) yanayopelekea wakati mwingine kuomba kuwa na mahusiano kinyume na maumbile hicho kimekuwa ni moja ya kitu ambacho kimekuwa kikivuruga ndoa nyingi na watu mwisho kuachana, tuachane na hizo tabia tunazozi-copy na tuishi maisha yanayompendeza Mungu,"amesema Joyce
====
Haya yanajiri baada ya kamati ya Bunge ya huduma na Maendeleo ya jamii kutoa ripoti Septemba 5, 2022 iliyoelezea kuwa mkoa wa Dar es salaam unaongoza kwa uvunjifu wa ndoa nyingi nchini ambapo wastani wa ndoa 300 huvunjika kila mwezi.
Kamati hiyo ilibaini pia kuwepo kwa mmomonyoko mkubwa wa maadili na ukatili mkubwa wa kijinsia hasa ule unaohusisha watoto.
EATV