Unaongea kama mtoto mdogo mwenye mihemuko tu....Halafu watakapojibiwa wote waliopo hapa watakimbia na kutelekeza mada zao kama walivyokimbia Kherson ilivyokombolewa.Wamejitokez leo wote gafla kama siafu baada ya yule Kamanda mwenye mishavu kama anapuliza moto alivyoanza kurusha rusha vikombola vyake ovyo bila mpangilio Kyiv.
hamna lolote, Putin anazidi kuyakanyaga - atabokolewa na NATO ka dog mwizi wa nyama.Mzaha mzaha hii vita inaweza kuwa ndiyo mama wa vita zote duniani
Acha kujidanganya wewe !!Wakithubutu kujibu niite mbwa niko pale.
Wakijibu inamaanisha kuingia vitani na Urusi kitu ambacho hakuna kiongozi yeyote wa kimagharibi anaweza thubutu hata kukifikiria.
Na wasipo jibu basi tukubaliane wanamogopa Urusi.
Ikithibitika atakuwa kashaingia rasmi mikononi kwa NATO.Putin apa Sasa kadandia mtubwi wa vibwengo
Timu russia tunawasubiri kwa hamu sana hao viumbeNgoja tuone kama NATO wataingia mzigoni.
Kweli kabisa mkuu, NATO huwa haikurupuki wala kufanya maamuzi kwa matakwa ya mtu mmoja kama ilivyo Russia.Nakubaliana nawewe mkuu 100%
Utaratibu wa kule SYRIA unaitwaje?Kweli kabisa mkuu, NATO huwa haikurupuki wala kufanya maamuzi kwa matakwa ya mtu mmoja kama ilivyo Russia.
Wana utaratibu wao wa kujibu mapigo pale wanapolazimika au lazimishwa kufanya hivyo.
Jana tulisema kuhusu zelensky kuzuru KHERSON,tumeanza yaona.Wasipofuata kipengele chao watakua wameiogopa Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mkuu haraka ya nini? Mambo yametokea jana, wakubwa wamesema wanafuatilia kilichotokea.Utaratibu wa kule SYRIA unaitwaje?
Sio kila taarifa una ibeba kama ilivyo,Poland wenyewe hawajui nani muhusika,wewe unabeba na kuileta hapaRussia imerusha kombora na kutua PolandView attachment 2418013
Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine, domestic media reported.
Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki has called an emergency meeting of the country’s top national security and defence officials, according to government spokesman Piotr Mueller.
Mueller did not immediately confirm the information on the missile strike but said the meeting was held due to a “crisis situation”.
A senior US intelligence official confirmed to AP that Russian missiles crossed into Poland….
Continue Reading
News Source: Russian missiles cross into Poland, killing two near Ukraine border
Ata Kagame si anakana kwamba hasaidii M23 wakati wazi wanatokea Rwanda na Uganda....Nato wameogopa lugha zimebadilikaHalafu pana mtu anasema Poland ni wanyonge kwa Russia,mbona sasa Russia anajihami kwa kukana.Kama yeye ni mbabe kweli akae kimya asuburie kuona watajibu nini Poland lakini kukimbilia kukana maana yake anaujua mziki utakaokuja na hawezi kuucheza.
Dude limeangukia Poland,Kama wanaume wajibu Sasa,kuonyesha ni makusudi urusi haijaomba radhiTaarifa zina ripoti makombira mawili yaliyolengwa Ukraine/Cruise missiles yameangukia Ardhi ya Poland na Kuua raia wawili wa Poland ambao walikua hawajashika hata manati.
Naona Blood Monger/war Monger bado ana hamu na damu za watu baada ya tukio hilo baraza la usalama la Poland wakiongozwa na waziri Mkuu Ndg Duda wamekutana kwa Dharura kujadili sintofahamu hiyo huku pia viongozi mbalimbali wa vyombo vya usalama wakizuru eneo la tukio.
Inaweza kuwa War Monger aka mzee wa special operation anataka kuanzisha operation nyingine Poland.
Tukumbuke Poland ni member wa Nato na Rusia kufanya hivyo ameviolate article No 5 ya NATO.
Wale Pro Russia wa Tanzania mtueleze tena kama Putin alisaini mkataba wowote na Poland kama mlivyokuja na hoja nyepesi za Ukraine.
Ndg yenu anazeeka vibaya.
Wampate watu gani?hivi kweli ukitikisa kichwa unasikia zimejaa,Putin ni msenge acha wampakate wamtie kabisa.
Hawawezi kujibu sana sana watazungusha tu.Watu wengi easten europe wanaelewa kwamba hiyo hawawezi kulindwa na hiyo natoWakithubutu kujibu niite mbwa niko pale.
Wakijibu inamaanisha kuingia vitani na Urusi kitu ambacho hakuna kiongozi yeyote wa kimagharibi anaweza thubutu hata kukifikiria.
Na wasipo jibu basi tukubaliane wanamogopa Urusi.
Wewe ni mchochezi, kwahiyo unataka wafanyeje Sasa kwa urusi?wakifuata hicho kipengele atawatoa maviWasipofuata kipengele chao watakua wameiogopa Russia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kwani sera yao imebadilika kumbehao sio wakurupukaj , mdo mdo mtastuka Urusi anachakazwa
Labda kipande kilichomeguka kutoka kwenye komboraau lilikuwa ni kombora la kurusha kwa mkono.?
Na wakishindwa kumvamia basi watakuwa wamedhihirisha kuwa wanamuogopaLazima watafute mlango wa kutokea! Kukabiliana na Urusi ana kwa ana siyo habari ndogo!! Wataishia kulaani tu na kutoa onyo na vitisho basi! Urusi siyo Iraq!!