Unaongea kama mtoto mdogo mwenye mihemuko tu....Halafu watakapojibiwa wote waliopo hapa watakimbia na kutelekeza mada zao kama walivyokimbia Kherson ilivyokombolewa.Wamejitokez leo wote gafla kama siafu baada ya yule Kamanda mwenye mishavu kama anapuliza moto alivyoanza kurusha rusha vikombola vyake ovyo bila mpangilio Kyiv.
Viongozi wa kweli hawawezi kuwa na hisia kama zako, na ndo maana wote wemilijibia calmly kabisa.Hakuna kitakachojibiwa hapo zaidi ya statements tu.....
Behind the scenes, hawa watu wanamazungumzo na wanawasiliana...hakuna kitakachotokea zaidi ya symbolic gesture tu