Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

Halafu watakapojibiwa wote waliopo hapa watakimbia na kutelekeza mada zao kama walivyokimbia Kherson ilivyokombolewa.Wamejitokez leo wote gafla kama siafu baada ya yule Kamanda mwenye mishavu kama anapuliza moto alivyoanza kurusha rusha vikombola vyake ovyo bila mpangilio Kyiv.
Unaongea kama mtoto mdogo mwenye mihemuko tu....

Viongozi wa kweli hawawezi kuwa na hisia kama zako, na ndo maana wote wemilijibia calmly kabisa.Hakuna kitakachojibiwa hapo zaidi ya statements tu.....

Behind the scenes, hawa watu wanamazungumzo na wanawasiliana...hakuna kitakachotokea zaidi ya symbolic gesture tu
 
Wakithubutu kujibu niite mbwa niko pale.

Wakijibu inamaanisha kuingia vitani na Urusi kitu ambacho hakuna kiongozi yeyote wa kimagharibi anaweza thubutu hata kukifikiria.
Na wasipo jibu basi tukubaliane wanamogopa Urusi.
Acha kujidanganya wewe !!
 
Nakubaliana nawewe mkuu 100%
Kweli kabisa mkuu, NATO huwa haikurupuki wala kufanya maamuzi kwa matakwa ya mtu mmoja kama ilivyo Russia.

Wana utaratibu wao wa kujibu mapigo pale wanapolazimika au lazimishwa kufanya hivyo.
 
Utaratibu wa kule SYRIA unaitwaje?
Mkuu haraka ya nini? Mambo yametokea jana, wakubwa wamesema wanafuatilia kilichotokea.

Sasa tusubiri baada ya kufuatilia kilichotokea ni nini kitachojiri afu baada ya hapo ndo kila mtu atakuwa free kujadili hatua itakayochukuliwa na walioshambuliwa.
 
Russia imerusha kombora na kutua PolandView attachment 2418013
Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine, domestic media reported.

Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki has called an emergency meeting of the country’s top national security and defence officials, according to government spokesman Piotr Mueller.

Mueller did not immediately confirm the information on the missile strike but said the meeting was held due to a “crisis situation”.

A senior US intelligence official confirmed to AP that Russian missiles crossed into Poland….

Continue Reading


News Source: Russian missiles cross into Poland, killing two near Ukraine border
Sio kila taarifa una ibeba kama ilivyo,Poland wenyewe hawajui nani muhusika,wewe unabeba na kuileta hapa
 
Halafu pana mtu anasema Poland ni wanyonge kwa Russia,mbona sasa Russia anajihami kwa kukana.Kama yeye ni mbabe kweli akae kimya asuburie kuona watajibu nini Poland lakini kukimbilia kukana maana yake anaujua mziki utakaokuja na hawezi kuucheza.
Ata Kagame si anakana kwamba hasaidii M23 wakati wazi wanatokea Rwanda na Uganda....Nato wameogopa lugha zimebadilika
 
Taarifa zina ripoti makombira mawili yaliyolengwa Ukraine/Cruise missiles yameangukia Ardhi ya Poland na Kuua raia wawili wa Poland ambao walikua hawajashika hata manati.

Naona Blood Monger/war Monger bado ana hamu na damu za watu baada ya tukio hilo baraza la usalama la Poland wakiongozwa na waziri Mkuu Ndg Duda wamekutana kwa Dharura kujadili sintofahamu hiyo huku pia viongozi mbalimbali wa vyombo vya usalama wakizuru eneo la tukio.

Inaweza kuwa War Monger aka mzee wa special operation anataka kuanzisha operation nyingine Poland.

Tukumbuke Poland ni member wa Nato na Rusia kufanya hivyo ameviolate article No 5 ya NATO.

Wale Pro Russia wa Tanzania mtueleze tena kama Putin alisaini mkataba wowote na Poland kama mlivyokuja na hoja nyepesi za Ukraine.

Ndg yenu anazeeka vibaya.
Dude limeangukia Poland,Kama wanaume wajibu Sasa,kuonyesha ni makusudi urusi haijaomba radhi
 
Wakithubutu kujibu niite mbwa niko pale.

Wakijibu inamaanisha kuingia vitani na Urusi kitu ambacho hakuna kiongozi yeyote wa kimagharibi anaweza thubutu hata kukifikiria.
Na wasipo jibu basi tukubaliane wanamogopa Urusi.
Hawawezi kujibu sana sana watazungusha tu.Watu wengi easten europe wanaelewa kwamba hiyo hawawezi kulindwa na hiyo nato
 
Lazima watafute mlango wa kutokea! Kukabiliana na Urusi ana kwa ana siyo habari ndogo!! Wataishia kulaani tu na kutoa onyo na vitisho basi! Urusi siyo Iraq!!
Na wakishindwa kumvamia basi watakuwa wamedhihirisha kuwa wanamuogopa

Maana hata Nato wakibaigwa huwa wanasema kama urusi anajiamini basi arushe hata jiwe kwenye nchi yoyote ya Nato

Bila kusahau warusi wa kiembe samaki nao sa hizi wanajiandaa kuwazodoa au kumtetea mrusi pale akivamiwa na Nato.
 
Back
Top Bottom