Pre GE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndivyo itakavyokuwa πŸ‘πŸ€ 
 
Mmmhh......kusema sema!!
 
Kama mkuu wa mkoa analalamika kuwindwa basi nchi imeoza.
 
Mimi ni mwanachama pia( bado yanki) na nakuelewa sana upo vizuri! Watu hawajui ndani ya chama vitu ni vizito mno ukitaka kwenda kinyume wanaku-derail immediately.
Suluhisho ni moja tu! Nikujijenge kwanza ukiwa kwenye nafasi ambayo ni ngumu kuyumbishwa unaanza kuwanyoosha.
 
Kama kawaida yake, anajua sana kucheza na akili za 'wajinga'
 
Kama kuna wazee alioshiriki kwa namna moja au nyingine kuwadhalilisha aende akawaombe radhi πŸ‘

Laana zao huwa hazifutwi kwa kufanya toba bila kuwaomba wahusika walioumizwa mioyo yao πŸ‘πŸ™„πŸ˜·
Yawezekana wapo au wasiwepo, Lakini kama aliwakosea kwenye uwanja wa siasa ni ngumu sana kuomba msamaha. πŸ€”πŸ€”
 
Watu nane wanamuwinda wanatumia silaha gani, chegimbo hawawezi kukwepa uhusika na wengineo, wasije kumtumia moshi.
 
Kama kawaida yake, anajua sana kucheza na akili za 'wajinga'
Nani ambaye anaishi Tanzania ambaye hajui kwamba ukijifanya wewe ni mwamba wa kuwaumbua wabadhirifu ni lazima utatengenezewa kila aina ya uovu na hao hao wenzao ndani ya Chama. ?? πŸ‘

Sisi wengine ni wahanga tunajua nini huwa kinafanywa hata ukianza kukosoa tu humo Chamani. πŸ˜³πŸ™„
 
Nimeipenda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…