Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

Nyumba akihama kiongozi huwa zinakarabatiwa kwanza kabla ya mwingine kuingia, Rangi na Furniture ni kawaida sana
Ingekuwa na maana kama viongozi wangekuwa wanakaa muda mrefu katika hizo nyumba, kuna viongozi wanabadilishwa hata mwaka haujaisha.
Hapo ikalatikwa kubadilisha mashuka na foronya tu.
 
Tuache kukurupuka!! Nyumba ya Mkuu wa Mkoa ilikua inakaliwa na mtangulizi wake hvyo ni lazima mtangulizi wake aondoke kwanza na ukarabati ufanyike ndipo ahamie. Halaf mlitaka akakae kwenye lodge ya elf50 acheni zenu bana
Ukarabati wa nini wakati viongozi wanabadilishwa hata hawamalizi miaka mitano??
 
Nyumba yafanyiwa usafi ikiwemo fumigation.

Ungekuwa mjanja ungepambana upate zabuni.

Ndo maana huwa nasisitiza upinzani Tanzania haupo bali usindikizaji mfumo wa Kleptokrasia.
 
Nyumba yafanyiwa usafi ikiwemo fumigation.

Ungekuwa mjanja ungepambana upate zabuni.

Ndo maana huwa nasisitiza upinzani Tanzania haupo bali usindikizaji mfumo wa Kleptokrasia.
Wakuu wa mikoa ni wasafi sana wakihama hakuna haja ya kufanya fumigation kama mabweni ya shule.
Mbona hospitali wagonjwa wanabadilishana vitanda bila fumigation??
 
Kama analipa pesa tatizo wapi!
 
Tuache kukurupuka!! Nyumba ya Mkuu wa Mkoa ilikua inakaliwa na mtangulizi wake hvyo ni lazima mtangulizi wake aondoke kwanza na ukarabati ufanyike ndipo ahamie. Halaf mlitaka akakae kwenye lodge ya elf50 acheni zenu bana
Sawa sawa. Je hapo hotelini analipa nani hizo gharama kama ni kweli kwa siku ni hizo dola ?
 
Labda wafanyabiashara waliompokea Airport na magari ya kitalii au Hotel yenyewe imejitolea.
Nadhani tungejua mlipaji wa hizo gharama wkt huu akisubiria nyumba ya serikali, kama Mtumishi wa serikali
 
Nyumba yafanyiwa usafi ikiwemo fumigation.

Ungekuwa mjanja ungepambana upate zabuni.

Ndo maana huwa nasisitiza upinzani Tanzania haupo bali usindikizaji mfumo wa Kleptokrasia.
Wangehoji ni nani analipa hizo gharama zote za hotel ya kitalii kwa mtumishi wa umma
 
Hii ndio kazi ya upinzani
Ku tweet tu

Katika ufisadi unaoendelea TZ KWEnye miradi, huu nao ni ufisadi au umeleta umbeya

Ndio maana mmletewa tume huru kwa jina
Hamna akil
Akili za Mtanzania inashangaza sana, utakuja kugombana na upepo, sasa tume huru ya uchaguzi ipo kwa faida ya wananchi na watanzania wote au kwa wapinzani pekee?
 
Hata sielewi uhusuano wa huyu maza na Bashite 😡
 
Sijajifunza kitu , nitawanyoosha .
 
Watanzania bwana tunakuwa na expectations kubwa sana kutoka viongozi wetu. Sasa Raisi Samia, ambaye anavaa saa ya Tshs 110m mkononi (na hakuna aliyeuliza kama saa ni sehemu ya kuvishwa na serikali), anaambiwa inakuwaje Makonda anakaa chumba cha Tshs 1.3m kwa siku? Ukiambiwa basi mhamishieni chumba cha Tshs 2.0m kwa siku sijui utasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…