Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

Tuache kukurupuka!! Nyumba ya Mkuu wa Mkoa ilikua inakaliwa na mtangulizi wake hvyo ni lazima mtangulizi wake aondoke kwanza na ukarabati ufanyike ndipo ahamie. Halaf mlitaka akakae kwenye lodge ya elf50 acheni zenu bana
Mwisho wenu upo.
 
Tutasikia mengi sana.....kuna wakati Vuai Nahidha nae alikaa New Africa zaidi miaka 2.....kila nyumba hataki anasema haina hadhi ya Waziri Kiongozi
 
Tatizo nini?
 


"Makonda Amekataa" sijaona neno amekataa umelitoa wapi.......
 
Kwani mnajua kwamba hizo hela kaiba? Kama ni zake je?

Ulipoambiwa Wan Arusha watamtuliza we ulidhani watamtuliza kwa Fimbo?
Ni kwa Rupia tu
 
Kwenda huko.

Wewe jibu mada, wachana na usiowajuwa.

Kuna mada ya kujibu hapa Mzee mwenzangu? Kichwa cha habari kinasema Makonda kakataa, content zinasema anaishi Hotelin, kuishi Hotelin sio kukataa, pengine kuna sababhu, ingawa I hate Makonda na ccm with passion, ila siwezi muongea vibaya bil sababu.
 
Kuna mada ya kujibu hapa Mzee mwenzangu? Kichwa cha habari kinasema Makonda kakataa, content zinasema anaishi Hotelin, kuishi Hotelin sio kukataa, pengine kuna sababhu, ingawa I hate Makonda na ccm with passion, ila siwezi muongea vibaya bil sababu.
Endelea na mada, wachana na mambo ya watu binafsi.

Hunijuwi sikujuwi.
 
Mbona dogo anaachiwa Sana ?
Hakuna wakubwa zake?
Why him always? Kuna Nini!
 
Kama ni kweli huyu ndugu yangu atakua na shida pahala

Mtoa taarifa kama ni MMM nimemshusha vyeo toka apambane na mange ni mjinga sanaa
 
Acheni ujuaji usio tija ,kama hamjui taratibu za kukabudhiana nyumba za serikali ni jambo jema kuuliza,by the way unaushahidi gani kuwa hizo gharama za kulala hotel kwa comrade Makonda ni juu ya mlipa kodi,what if ni kwa pesa yake .?
Mkuu pesa yake?? Mtumishi wa serikali?? Msafara binafsi?? Really!!!
 
Hii ndio kazi ya upinzani
Ku tweet tu

Katika ufisadi unaoendelea TZ KWEnye miradi, huu nao ni ufisadi au umeleta umbeya

Ndio maana mmletewa tume huru kwa jina
Hamna akil
Kwa hiyo wangenyamaza?Ukurutu huanza kama upele.Unajua hilo?
 
🤣 🤣 🤣
 
Hii ndio kazi ya upinzani
Ku tweet tu

Katika ufisadi unaoendelea TZ KWEnye miradi, huu nao ni ufisadi au umeleta umbeya

Ndio maana mmletewa tume huru kwa jina
Hamna akil
Usiwe ka mpumbavu. Ni kazi ya wananchi wote kupiga vita ufisadi huu wa Bashite. Siyo kazi ya upinzani tu.
 
Mitandao ya kijamii kama JF itamsaidia mama kujua kinachoendelea Arusha. TBC kimaadili inazuiwa kutangaza habari kama hii ya Bashite.
 
Eti upinzanzi kwa style hii tuwape Nchi.
Hapana kwa kweli bora nikaa bila kupiga kula
Acha ujinga! Upinzani unaopinga matumizi mabaya ya pesa za walipa Kodi ndio tunaoutaka! Kwani angelala Mt Meru Hotel ya USD 200 kungekuwa na shida gani. Yaani RC alale hotel ambayo hata Biden akija analala? Vp kuhusu hiyo convoy.
 
Mfateni hapo hotelini muende mumhamishie kwenye nyumba ya Serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…