Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

Marais wanaojitambua hasa Afrika Mashariki wako hapa Uganda nilipo, Rwanda kwa Role Model wangu PK na Kenya tu.
 
Je, umeangalia sheria za Utumishi wa Umma juu ya hili kabla ya kuandika hapa?
 
Atanguliwe.
 
Marais wanaojitambua hasa Afrika Mashariki wako hapa Uganda nilipo, Rwanda kwa Role Model wangu PK na Kenya tu.
Mtu anajiita mm mzalendooo ni mtu nmenyooka anaishi hotel nyota 5 😄
Hivi huyu jamaa ni special sana au

Ova
 
Mtu anajiita mm mzalendooo ni mtu nmenyooka anaishi hotel nyota 5 😄
Hivi huyu jamaa ni special sana au

Ova
Mwanamke yoyote Yule ukimkuna tu vizuri hata ufanyeje hawezi Kukuacha au Kukusahau. Sitaki Maswali yoyote tafadhali.
 
Poleni sana Mkuu niko hapa Burka karibu na Dorobo nakuja huko na bereshi langu....
 
Harakat tujikite kwenye mambo constructive,kama nyumba haijafanyiwa fummigation haijarekebishwa mambo madogo madogo unataka mtu ahamie tu hivoo ivooo,somtimes unakuta labda wavu za mbu, au usafi.mazingira yetu kitanzania tunajuana mtu akihama lazima upige usaf wa nguvu.ysafi ni tabia
 
Eti upinzanzi kwa style hii tuwape Nchi.
Hapana kwa kweli bora nikaa bila kupiga kula
Inajulikana Watumishi wa umma wanaishi na kutenda kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma na Kila kundi na daraja la utumishi wanalipwa stahili zao kwa mujibu wa nyaraka mbalimbali za malipo ya stahili za mtumishi,Yote haya yanasimamiwa na Afisa masuhuli wa eneo husika(RAS),kwa vyovyote RC hawezi kulaumiwa kwa misappropriation yoYote.
 
Eti upinzanzi kwa style hii tuwape Nchi.
Hapana kwa kweli bora nikaa bila kupiga kula
Wewe unapiga kula? Kumbe ndo maana .wenzako huwa tunapiga KURA. ndo maana tunajoji! Wewe endelea kupiga kula ili ishibe hata uvimbiwe
 
Jamani huyo Martin amechambwa na Mange mpk huruma..jamani ushauri mkitaka msipoteze utu na popularity yenu ni bora mkaachana na yule mwanamke yule sio wa kufanya nae ligi..
 
Ila huyo Makonda kuna kitu anatafuta..soon atakipata..maaana naona kama anajiachia sana na mali za uma..watu maisha magumu yy anaponda raha wazi wazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…