Kwa hali hii, tutafika?
Anaandika
Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X
Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara wa watu 20.
Hii ni siyo chini ya Sh105 milioni. Hizi ni pesa za nani? Bashite hataki kuingia katika nyumba ya serikali. Kwanini unaruhusu haya yatokee? Je, unakubaliana naye katika huu UFISADI? Kwanini asiingie katika nyumba ya serikali?
View attachment 2960954