Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

Wao ndivyo ilivyo lkn Konda Boy alijitetea hivyo kuwa alipinga Ushoga. Unaweza enda YouTube ukamsikiliza mwenyewe.
Kama ni kupinga ushoga basi Trump asingeshinda uchaguzi kwani ni mpinga ushoga mkubwa
 
Kwa mtu kama Lissu angekuwa na ushahidi nadhani pangechimbika, ila sasa hivi hana uhakika ni nani alihusika, amachofanya ni kukisiakisia kwa wale aliowahi kutofautiana nao.
Jiulize kama ulichoandika una uhakika nacho!
 
WWe
Wewe ndiyo makonda?
 
Washiriki wakawa wanapiga makofi Bashite akijibu hoja nikaona ujinga mkubwa.
 
Itajulikana tu
 
My God!
Yaani huyu awe mwalimu wa Gwiji Lissu!
Yaani aisee hii sasa ni dharau kuu!
Mh! Mh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…