Kama ni kupinga ushoga basi Trump asingeshinda uchaguzi kwani ni mpinga ushoga mkubwaWao ndivyo ilivyo lkn Konda Boy alijitetea hivyo kuwa alipinga Ushoga. Unaweza enda YouTube ukamsikiliza mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kupinga ushoga basi Trump asingeshinda uchaguzi kwani ni mpinga ushoga mkubwaWao ndivyo ilivyo lkn Konda Boy alijitetea hivyo kuwa alipinga Ushoga. Unaweza enda YouTube ukamsikiliza mwenyewe.
Ashushe ushahidi wapi sasa? Au kwako?Lissu sasa ashushe ushahidi kama kweli anao na kama hana ushahidi ajitafakari kama mwana sheria.
Jiulize kama ulichoandika una uhakika nacho!Kwa mtu kama Lissu angekuwa na ushahidi nadhani pangechimbika, ila sasa hivi hana uhakika ni nani alihusika, amachofanya ni kukisiakisia kwa wale aliowahi kutofautiana nao.
Wamarekani siyo wapuuzi kama yeye!!Kama ni kupinga ushoga basi Trump asingeshinda uchaguzi kwani ni mpinga ushoga mkubwa
Wewe ndiyo makonda?Ila bro haupo sawa sasa hayo maswal kuulizwa makonda kama nani? Makonda alikua mwenyekiti wa ulinz na usalama DSM sio DODOMA. Makonda alikua hana uwezo wa kutoa amri yoyote DOM cz sio area yake ya jurisdiction. Unaweza ukawa una maswali mazuri ila Makonda hausiki na majibu ya hayo maswal hata kidogo
Kwanini usianze kujitafakari wewe?!Wanaomwamini Lisu wajitafakari
Itajulikana tuBaada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.
Akiongea na wanahabari leo, Makonda amekana kuwa hakuhusika na shambulio la Lissu na kuongeza kuwa Lissu kwa sasa anapitia msoto mkali sana wa kisiasa na anamtumia yeye kama ngazi ya kurudi kwenye siasa.
"Kaka angu Tundu Lissu nimemsikia hata mimi lakini kwa hali aliyonayo siwezi kumshangaa. Na nafarijika kuona kwamba ameniona nafaa kumsaidia kujenga career yake ya kisiasa kwenye taifa letu, Na mimi sitaki kumjibu kwa sababu nikimjibu ntamuaibisha kaka yangu yangu"
"Watu wa Clouds wakirudi nyuma siku ya tukio watakumbuka hata siku tukio linatokea mimi nilikuwa Dar Es Salaam uwanja wa mnazi mmoja tulikuwa na kampeni ya matibabu. Kwa hiyo hata sehemu ya tukio sikuwepo"
"Ushauri pekee ambao ningewapa nyie wanahabari, mjitahidi sana kuangalia mtu mnayemuhoji yupo katika wakati gani. Na kwa kuwa alisemea Dodoma nilitegemea mumuombe apite Milembe aone kama yuko sawa au"
My God!Kaka angu Tundu Lissu nimemsikia hata mimi lakini kwa hali aliyonayo siwezi kumshangaa. Na nafarijika kuona kwamba ameniona nafaa kumsaidia kujenga career yake ya kisiasa kwenye taifa letu, Na mimi sitaki kumjibu kwa sababu nikimjibu ntamuaibisha kaka yangu yangu"
Ashushe mahakamani ili ukweli ujulikane.Ashushe ushahidi wapi sasa? Au kwako?