Makonda alitoa wapi zaidi ya Sh. Bilioni moja kujenga nyumba binafsi. Je, mshahara wa Mkuu wa Mkoa kwa miaka 3 unatosha?

Picha ya nyumba iko wapi?
 
Lkn huwa hawana ujanja wa kuishi nje ya upigaji,hata biashara zao ufa mfumo ukiwatupa. Check mabus ya buffalo, mabus ya scandinavian, nk. Huwezi endesha biashara kwa kutegemea uporaji.
Kumbe?
 
Makonda pia ana tuhuma za upigaji fedha kwa ajili ya familia masikini tassaf
 
Aliiba,
Alinyang'anya
Alidhulumu

Sasa ameingia kwenye kumi na nane za watemi.
Mtoto akililia wembe acha umkate.
 
Makonda na vijana baadhi walijigeuza wafalme wakati wa utawala wa giza, Walipora chochote na kutisha wafanyabiashara
Nashangaa kwanini sabaya yupo ndani huyu jambazi mkuu anakula bia kule mbezi kwa mwamunyange. Nashangaa sana
 
Wekeni picha ya hiyo nyumba hapa tuione na kuthaminisha isije ikawa mnamuonea tu
 
Kama una ushahidi kwenda Mahakamani, vinginevyo endelea kujiliwaza kuwa ipo siku utamzidi makonda kwa balance sheet ya account yako benki!
Hakika huyo Bashite alikuwa ni jambazi completely akikingiwa kifua na Mwendazake. Full Stop
 
Malipo ni hapahapa Ndiyo. Malipo ni hapahap duniani. Zimwi la kumpiga Mzee Warioba linaendelea kumsakama.
 
Mtu hajawahi kuwa hata mjasiriamali uyo ni fisadi tu
Kwako mjasiliamali ni anaenunua na kuuza Michele na vitunguu? Hebu toka nje ya box humo! Wakati wewe unashangilia Samia kuchoma chanjo ya Uviko mbele ya kamera wenzio tulinunua share za Astrazeneca, angalia bei ya share moja wakati ule na sasa!
 
Kuna movie moja nimewahi angali inasema every body is a thief.watu Ni wezi San tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…