Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka lini wananchi mkawa na umuhimu watu wakubwa wakipanga mambo Yao? We utafaidika na kitu au mambo ambayo wakubwa wataamua ufaidike.Halafu Wananchi tutafaidika na wakishagawana?
Gambo kawa kama FISI KWENYE KUNDI LA KONDOO. Karma is really.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Makonda alimtaja Mbunge mwenyeji ambaye ni Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo ambapo hakumuona na kusema
"Mheshimiwa Rais tunao wabunge upande huu (akionyesha), pia tunaye mbunge wa Arusha mjini, Mheshimiwa Gambo (Mrisho) upo wapi? Mbona simuoni?
"Itakuwa amekaa jukwaa la wananchi wa kawaida kwa sababu hapendi makuu," amesema na kuongeza Makonda
View attachment 3263594