Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hichi ndiyo kinamuuma zaidi ZariDah ila dee mshenzi wallah..ndani ya kitanda anacholala na zari kampea mimba na mtoto kazaliwa
Hii siyo fair aisee.Hichi ndiyo kinamuuma zaidi Zari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisa yaniBaada ya Diamond kuweka wazi kuwa kazaa nje ya ndoa, mwananziki mkongwe Profaseer jay ampongeza Diamond kuwa mkweli.
Upande mwingine Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameguswa na uchungu na kumwandikia ujumbe wa pole zari the boss lady kujua yote pitia video hii.
mtoto raha sana mwambie.alitaka amkatae mtoto sio? hizo mambo aachie wenye mbegu zao
Hawana ndoa wote wazinzi tu shida iko wapi.Kwani walishawahi kufunga ndoa??
Mi love ❤️ U Gwajima
hahahaha ngoja nijikumbushe
Honey kuna nissan jeupe hapa nje... nishuke?Kwa Lissu ana maumivu ya kukosa shabaha.
hahaha natamani sana huyu msukuma kwakweliMi love ❤️ Gwajima