ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Kwa hiyo kisa nikiongozi nikiwa home nisiongee lugha yetu huo si utumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteKiswahili
Kwa hiyo kisa nikiongozi nikiwa home nisiongee lugha yetu huo si utumwa
Lugha ni njia tu ya kuwasiliana, sasa athibitishe huo ubaya ni kukosa ufanisi wa kufikisha ujumbe.Nimerudia kusoma tena, kumbe wewe mpumbavu sana eti kisukuma kibaya na ungeona aibu kukitumia karne hii!
Tanzania tuna makabila 120+ Sasa aibu na kabila baya ni kisukuma? Pumbavu sana wewe.
Ndugu yako Tlaatlaah anasemaje?! Hajampongeza huyo mwenezi kwa kuendelea kuimarisha sukuma gang hapa nchini?Hii tabia ya kuongea kisukuma akiwa mikoa ya wasukuma ni hatari, ni kueneza ukabila. Kwani watanzania wengine hawana lugha yao? Kwanini wasikitumie? Samia unatengeneza bomu. Hilo jamaa halifai anapsua nchi.
Kisukuma kilivyo kibaya mi ningeona aibu kukitumia tena karne hii.
huyo ni mbinafsi na anawachukia tu wasukuma, na anajaribu kushawishi na wengine wawe na chuki kama yeye dhidi ya wasukuma bila sababu yenye mashiko na dhaifu sana kama anavyoshupaza shingo apo ulipombananisha 🐒Lugha ni njia tu ya kuwasiliana, sasa athibitishe huo ubaya ni kukosa ufanisi wa kufikisha ujumbe.
Vinginevyo huu utakuwa uhalifu kama kutukana matusi.
Mwanza & shinyanga hiyo ndio lugha yao kuu ya mawasiliono miongoni mwao.Ndugu yako Tlaatlaah anasemaje?! Hajampongeza huyo mwenezi kwa kuendelea kuimarisha sukuma gang hapa nchini?
Ingawa wewe siyo msafwa lakini una kila dalili ya kuwa na nasaba za Lucas mwashambwa.Mwanza & shinyanga hiyo ndio lugha yao kuu ya mawasiliono miongoni mwao.
Ni fahari sana kuzungumza kikwenu ukiwa kwenu.
kijana angezungumza mahali pengine tofauti na huko alikozungumza, kwaweli unaweza kuita ni ukabila lakini home?
kama ninyi ni wasukuma lakini mmzaliwa mwananyamala na amana, hamkujui kisukuma ata cha kuomba maji acheni gubu basi kwa waliozaliwa nyakato.
Najua inatia unyonge sana unaitwa msukuma, na kweli baba na mamako ni wasukuma na hujui kaneno ata kamoja kakisukuma, halafu wenzio wanakibonga kama lugha ya malkia 🤣 inakera sana....
wahenga walisema,
nanukuu....
"mkataa kwao mtumwa "
mwisho wa kunukuu.....
Nadhani muenezi apigilie msumari wa moto apoapo kwa kisukuma ili wasukuma wote wa Mwanza na shinyanga waelewe vizuri ujumbe na makusudi ya CCM na mwenyekiti Taifa dhidi yao kwa sasa na siku za usoni 🐒
mie sihusiki na yeyeto ispokua kwa maoni yako tu ambayo ni haki yako pia🐒Ingawa wewe siyo msafwa lakini una kila dalili ya kuwa na nasaba za Lucas mwashambwa.
Wasukuma hatujui kiswahili acha tuongee Lugha tunayoweza kuongea kwani unaasirika BWASHEEKiswahili