Badala ya kuhangaika na mambo ya maana ya kuimarisha vyama unakaa kuhangaika na Makonda. What has he done to you? Mbona sasa mnataka wapinzani waonekane hawana hoja? Akisaini kwa vyovyote vile wewe inakuhusu nini? Wewe ni nani ktk familia ya Marehemu?
But vyovyote iwavyo inaathari gani kwako? au kwa watanzania? Tujifunze kuwa na hoja za maana inawezekana usimpende Makonda, but Makonda hatoweza kuwa wa kawaida kama wewe kwa siku za hivi karibuni.
Mimi nilidhani kwa sasa ingebidi kujipanga na kuwaza nani atakuwa mgombea wa CHADEMA na wagombea wa ubunge maeneo mengine na pia kujenga zaidi chama. Badala yake unakuja kuuliza Makonda anasaini kama nani? kweli? nyie jamaa mnasikitisha sana. maana mnatufanya sisi wenye akili zilazimike kuwa kama ninyi msio nazo.