Makonda ashangaa utekaji, Hando amshangaa Makonda kushangaa

Wewe kama ulikuwa Kolomije wakati Makonda anamteka Ben Saanane, Roma Mkatoliki na MoDewji shauri yako.

Ila siku ya Makonda ipo tu atakuja sema mchana kweupe ni nani alimtuma na alizikwa wapi mwili wa Ben Saanane
Pole
 
Kama hamziamini mahakama kwa nini hamuendi kwenye mahakama za kimataifa? Au napo huko kuna CHAWA.?
 
Mwanzilishi wa utekaji aliye hai Bashite aka Paul Makonda eti anashngaa utekaji.

Mwanahabari maarufu Gerald Hando naye anamshangaa Makonda kushangaa utekaji.

Ni nini watu hawa wawili wanachoshangaa?

View attachment 2895876
Yeye Gerald Hando kwanza anatakiwa kuwa Heda! Makonda akiamua kumjibu wataanza kusema hakuna uhuru wa vyombo vya habari!
Gerald Hando anapaswa kujua kuwa anatakiwa kuwa na ushahidi wa anayoyatamka kwenye vyombo vya habari na alipaswa kuweka ushahidi wa Makonda kumteka anayedhani alimteka! Hata mimi natamani kuona wanaosema alimteka mtu fulani waoneshe hata ushahidi kidogo….

Gerald Hando aangalie asije muharibia Diamond chombo chake kwa kuropoka na mwisho wakaanza kuomba msamaha …!
 
Makonda ni mtekaji,mtesaji,mvamizi,muuaji, mporaji na jambazi mkubwa. Huyu nyami anapostahili kuwa kwa sasa ni jela tu akisubiria kwenda kunyongwa hadi afe
 
Ushahidi upo alivamia studio za clouds
 
Naona Hando, mlevi mbwa nae anatoa mchango kwenye jamii.Naona anatumwa na time zero.
 

Yaani kwa akili yako unafikiri kila mtu mwenye makosa huwa anapelekwa mahakamani?

US wamemzuia kwenda kwao kwa makosa hayohayo anayoyashangaa .....!!
 
Yaaani kwa mjibu wa kitabu cha yeremia kwenye bibulia, inasema watashindana nawe hawatakushinda. Watakao shindana na makonda wataaibika wao. Makonda kapakwa mafuta achape kaziiii.
Ficha upumbavu wako bwana mdogo. Hata huyo bashite mwenyewe anakushangaa! Watu huwa hawakurupuki kumshutumu mtu. It is impossible until is done. Endelea kushupaza shingo
 
Weka ushaidi wa makonda kumteka ben saabane, weka hapa wewe unayekaaa ikwiriri. Weka ata kavideo kamoja tuone makonda akimteka mtuu. Yaaani makonda kawashika pabaya campuni ya ufipa yote. Mwacheni achape kaziiiii.

Ni kama vile watu waseme iwekwe video clip ya Osama akifanya ugaidi duniani.
 
Akifuatwa kuulizwa ataanza kusingizia media.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Yaaani kwa mjibu wa kitabu cha yeremia kwenye bibulia, inasema watashindana nawe hawatakushinda. Watakao shindana na makonda wataaibika wao. Makonda kapakwa mafuta achape kaziiii.
Usidanganyike, omba Mungu akupe uhai tu. Makonda atakuja chezea kifungo gerezani labda kitakachomuokoa ni kifo tu kabla Samia hajatoka madarakani
 
Mahakamani sio sokoni unajiingilia tu acha uj8nga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…