Makonda ashangaa utekaji, Hando amshangaa Makonda kushangaa

Kama hamziamini mahakama kwa nini hamuendi kwenye mahakama za kimataifa? Au napo huko kuna CHAWA.?

..kuna mashauri ambayo yamepelekwa ktk mahakama ya Afrika Mashariki, na mahakama ya haki za binaadamu ya Afrika.

..baada ya serikali ya Tanzania kuona inashindwa ktk mashauri mengi ktk mahakama ya Afrika jitihada zilifanyika kujaribu kujitoa ktk mahakama hiyo.
 
Kazaneni tuoneee
 
Wewe mwenyeakili timamu kwa nn hujatinga mahakamani kutoa ushaidi wakweliii. Naona unabwabwaja nyuma ya kibodi ya hiyo tecno yako.
Haaha. Ati techno ? Ulishawahi kuona na kusikia alivyovamia kituo cha television cha clouds lakini ? Hilo nalo linahitaji degree yako ya chuuo cha mwalimu Nyerere kuweza kulijua????
 

Vyombo vya haki vipi boss, mbona wananchi huko kwenye mikutano ya muhalifu Makonda wanamshitakia badala ya kwenda kwenye vyombo vya kutoa haki? Ukitaka kujua hakuna vyombo vya haki vya hivyo hata huyo muhalifu anachukua hatua juu kwa juu.
 
Haaha. Ati techno ? Ulishawahi kuona na kusikia alivyovamia kituo cha television cha clouds lakini ? Hilo nalo linahitaji degree yako ya chuuo cha mwalimu Nyerere kuweza kulijua????
Mahakama ipi alipelekwa na kuhukumiwa kama alivamia. Mwenye ushaidi aende mahakamaniii.
 
Kumbe unamchukia Makonda kwa kupambana na nyinyi mashoga? Yaani jitu zima unafirw??

Nyinyi mashoga mnapashwa kuchomwa moto kabisa na hao Wamarekani wenu na ndio maana Putin anawanyoosha kweli kweli.
Makonda mwenyewe ni shoga, wacha kujibaraguza hapa. Au unataka tukutajie basha wake na tukuambie alivunjwa lini bikra ya marinda??
 
Mkuu,kwahiyo na wewe unafurahia kwa Makonda kupigwa ban na US kisa aliwashughulikia mashoga? wewe una support ushoga?
Sababu ya kupigwa ban siyo kuzuia ushoga bali ni "kuzuia haki za kuishi za watu wengine". Kichwa cha habari kilikuwa kimekumbushia tu tukio jingine la Makonda. Japo naye ni shoga
 
Nikikumbuka zuio alopewa ADB na Ubalozi wa Marekani kutokanyaga U.S mpaka leo najiuliza,ni kwa ushahidi upi mpaka U.S ikampiga Ban ilhali Bongo huyu mtu ni msafi!
Kwa mujibu wa zuio lile moja ya sababu ilitajwa kuwa ADB anadhulumu haki ya uhai wa binadamu,elewa neno kudhulumu haki ya uhai[emoji24]
 

View: https://youtu.be/xY36nYtd4iQ?si=P4Bv31Gj--0GUgla
Fungua hiyo link uone Zerobrain alivyokuwa anafanya jinai huku akiacha ushahidi wa kumfunga
 
Inategemea wanashangaana kwa muktadha gani.

Makonda kawaweza CHADEMA kwa kweli.

Wanashagaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…