Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

Uliponikwoti hujaona alichoniambia ndiyo nikajibu vile? Nothing personal Mr.
Umemlaumu kwa ku comment kuhusu sauti ya huyo aliyekuwa akihojiwa na wewe unazungumzia mwili wake.Ndio maana nikauliza.
 
MWACHE AHOJIWE NA ANATAKIWA ATOE MAJIBU SIYO KUMUNGUNY AMANENO WAMEIBA SANA MKOMBOZI KAINGIA ARUSHA WACHA WANYOROSHWE BADO LEMA
Mkombozi gani mpumbavu huyu! Huo udhalilishaji haukubaliki kwa civilised people labda kama hujitambui! SASa hivi kwenye hizi kazi kuna ethics and compliance hili bomu halifai kuwa kiongozi la umma! Hawa ndio walipigwa chuma na mee Mwamwindi my hero!
 
Umemlaumu kwa ku comment kuhusu sauti ya huyo aliyekuwa akihojiwa na wewe unazungumzia mwili wake.Ndio maana nikauliza.
Kuna comment huko juu mtu kaniambia nijitongozeshe kwa Makonda ili niwe namshauri asiwe anaropoka.
Ndiyo nikamjibu sipatani na wababa vibonge..

Haiko kama ulivyonukuu wewe. Am soreee
 
Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua.

Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda alimwamvia haongei na mchumba wakw bali wananchi, nina mke mzuri nyumbani!

Kwamba alokuwa anaongea kwa lengo la kumtega? Na yeye angemjibu nina mume handsome nyumani angekuwa amekosea? Maadili ya kazi yanasemaje? Hata kama unamhoji mtu ameiba ndio unatakiwa umdhalilishe namna hiyo?

Samahani lakini, huenda nikiona vibaya, lakini Binti alikuwa anarembua. Hata vaa yake ilikuwa ya kutongozatongoza. Ila pia inawezekana niliona vibaya wengine oneni.

Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua.

Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda alimwamvia haongei na mchumba wakw bali wananchi, nina mke mzuri nyumbani!

Kwamba alokuwa anaongea kwa lengo la kumtega? Na yeye angemjibu nina mume handsome nyumani angekuwa amekosea? Maadili ya kazi yanasemaje? Hata kama unamhoji mtu ameiba ndio unatakiwa umdhalilishe namna hiyo?

View attachment 2998156
viongozi wenye dhamana ya kuwatumikia wanainchi ni Lazima kuwajibika ipasavyo bila kujali jinsia, utanashati wala urembo....

toa maelezo ya kina juu ya wajibu na majukumu ulopewa kuyasimamia kwa niaba ya wanainchi. kwanini yako kama yalivyo na rasilimali imetumika?

hakuna mbambamba kwenye kazi za wanainchi, kwamba tuanze kusingizia na kujificha sijui kuna udhalilishaji ama nini, ikiwa ni hivyo nenda kwenye kamati ya maadili au mahakamani.

we need results, we need to see value for money in, ongoing and completed public programs and projects 🐒
 
Back
Top Bottom