Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Mbona mara ya pili sauti ilitoka na akaanza kuzungumza vema?.Hujawahi kutana na watu wenye sauti ndogo na nyembamba?
Tukubaliane tu kuwa Makonda ametumia maneno ya hovyo katika kumtaka azungumze kwa sauti.
Ila swala la sauti ndogo, huyo mwanamama hana sauti ndogo. Pengine aliingiwa na hofu wakati wa kuhojiwa.