Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

Aliambiwa mara nyingi aongeze sauti.Wacheni kutetea ujinga.Unapotakiwa kutoa maelezo ili wananchi wakusikie inabidi uzungumze kwa sauti ili usikike.Alihimizwa azungumze kwa sauti mara zaidi ya mbili akawa anarudia vile vile.
Kwani wote wana sauti kubwa ? Kwakuwa basha wako makonda anasauti kubwa basi unadhani wote wako hivyo? Mbona yeye anamatako makubwa wengine hawana inamana atalazimisha wote wawe na matako kama yake? Aache ujuaji mwingi
 
Kuna watu wajinga sana nchi hii.
Huyu jamaa saa ngapi anafanya kazi za mkoa wake.
Nna mke mzuri ,kwani nani hana wake wazuri dunia hii.
Its too much
Nanukuu:
1. "Kuna watu wajinga sana nchi hii"
Hilo ni sahihi 100% ila watu wengi hawapendi ukweli huo kuitwa ni wajinga.
2. Huyu jamaa saa ngapi anafanya kazi za mkoa wake.
Hiyo ni mojawapo ya kazi za Mkoa wake. -Hajakosea yuko sahihi na ni halali kuwepo hapo (Lakini hoja inakuwa; je, anakuwepo hapo akifanya nini cha kihalali? bila shaka sio kudhalilisha watumishi).
3. ......eti Nna mke mzuri,..........
Ulevi wa madaraka haujawahi kumwacha mtu salama.
 
Makonda akili ndogo sana basi tu hajijui?
 
Kwani wote wana sauti kubwa ? Kwakuwa basha wako makonda anasauti kubwa basi unadhani wote wako hivyo? Mbona yeye anamatako makubwa wengine hawana inamana atalazimisha wote wawe na matako kama yake? Aache ujuaji mwingi
Mkuu; Unapoint nzuri sana tena sahihi 100%, Ila dah! mwanangu hiyo lughaaaaaa.😳.
 
Binafsi nilichogundua hapa wanawake wengi wamekasirika, wakidhani mwanamke mwenzao amedhalilishwa.

Malipo ni hapahapa duniani. Kama alishiriki kwenye dhulma lazima ailipie... Na wanawake wengi huwa nj wajanja wajanja, wabinafsi, wenye chuki na fitina makazini na sekta nyinginezo za ulaji. Wenyewe wana utaratibu wao wa kujifanya wanapendana wao kwa wai na kuinuana siku hizi, huku wakiwaacha wanaume wanahunyahunya tu! Sababu kuu ni kwamba tuliwanyanyasa sana! Mifumo du.e n.k... Acha alipie!

UKWELI USEMWE!
 
Mkuu; Unapoint nzuri sana tena sahihi 100%, Ila dah! mwanangu hiyo lughaaaaaa.😳.
Sipendezwi na huyu jamaa kwa udhalilishaji anao ufanya kwa watumishi wa serikali ili yeye ajipe promo kwa wananchi wajinga. Wajinga

Asiwafanye watumishi kama watu wasio lipa kodi wakati na wao wanatumia jasho lao kuitumikia serikali tena majukumu mengi na ujira mdogo na bado wanalipa kodi pia.

Aache udhalilishaji yeye pia sio msafi
 
Swadakta
 
Makonda yupo sahihi. Huyo binti kazidisha mapozi kwa RC
 
Tuheshimiane mkuu! Ina maana sisi tuliokulia machungani unatuonaje? Hilo wala home kwao hawana ng'ombe halijapata malezi ya baba na mama, lilikuwa linafugwa kwa Mh. Khamese pale Mwanza mjini!
 
Huwa sipendi sana mtu kudhalilishwa kwa namna ile aisee.

Tuliowahi kupitia hizo shurba tunaelewa, ni ngumu sana kufuta hiyo kitu akilini.
 
Huyo dada naye anaongea kwa maringo na kudengua sana.
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…