Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

Sio tusi, ni kilema chake hicho!
 
Angeropoka Lissu ingeonekana ni kauli ya kikamanda!
 
Dada nae angesema ana mume wake nyumbani? Hivyo ndivyo kazi zinafanyika?
Ni kweli, ingekuwa nje ya mada lakini siyo big deal kiasi hicho.

Mimi nimesikia kelele za udhalilishaji nikadhani labda konda boy kamshika mtu matiti bila ridhaa yake, kumbe ni kumwambia kuwa ana mke, ndio anataka kushtakiwa, kufukuzwa kazi na kufungwa?
 
Reactions: Tui
Domo la makonda huwa halinaga break, huyu hana sifa ya uongozi mnayompaga. Anafaa kuwa afande tena cheo cha Koplo na si zaidi.
 


Kama hakushtakiwa kwa uhalifu wa Silaha atashtakiwa kwa hili? Mnapoteza mda wenu.
 
Hafai kuwa kiongozi kwa kweli ni too much kila siku anaharibu tu sometimes mtu hadi unamchukia aliomteua
 
Wafanyakazi wa aina ya huyi dada ndio wanaofanya watu wa Aina ya Makonda kukubalika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…