Makonda atafuta staili ya kuingilia Arusha!

Makonda atafuta staili ya kuingilia Arusha!

Sasa hivi nahisi ataingia amepanda kitimoto.
 
kuna kale kastyle kamoja ka mbichi kavu mbona hajaingia nako?
 
Vijana wa Chadema mtawehuka kisa Makonda! Jinga kabisa
 
Hii concept ya kushushwa cheo huwa siielewi, Binafsi naona msemaji wa chama hana mamlaka yoyote zaidi ya kuwa spika ya chama na sasa Makonda kaingia katika utendaji serikalini.

Halafu huyu jamaa sijui ana nini, hapo hata akipewa uwenyekiti wa mtaa atazungumzwa na kutazamwa utendaji wake kuliko waziri.
Nyota
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom