Mwanangu mboni unataka kuaibisha Ukoo mzima umeandika nini hapa?Mbona mtakoma safari hii
Sasa mnaambiwa SGR inahujumiwa na wanaopanda kwa buku
Halafu mtaambiwa faida ipatikane wapi kwa kukusanya buku buku muache kudandia bure
Ila kama mihogo ipo kuleni tu
Acha nifute kauliMwanangu mboni unataka kuaibisha Ukoo mzima umeandika nini hapa?
Yaani ni upuuzi kila sehemu, halafu kuna watu wanapata ujasiri wa kuwa chawa sababu ya vichenchi anavyopewa!Mbona mtakoma safari hii
Sasa mnaambiwa SGR inahujumiwa na wanaopanda kwa buku
Halafu mtaambiwa faida ipatikane wapi kwa kukusanya buku buku muache kudandia bure
Ila kama mihogo ipo kuleni tu
Aisee anakutana na limtu kazi yake kutesa tu yaan kutesa ndio furaha yake akiona unatoboka unataka damu ndio anachekelea anakukata masikio huku anachekelea wakati huo Wewe unalia, kazi za laana kitengo cha matesoAmechukuliwa na 'watu wasiyojulikana' nadhani ni wiki ya pili au tatu mpaka sasa, zishaanza kuzuka taarifa huenda ashafikishwa asipatikane mzima
Wewe na nani? Mboni umekuja pekeyako wenzio wapo wapi?Endeleeni kufuatilia propaganda za kijinga sisi tunaendelea kuchapa kazi za Ujenzi wa Taifa..
Yanga,Simba,Kagera Sugar n.k ni vilabu vya michezo nchini na vinashindana kutumia sheria 17 za mpira wa kandanda.Yanga ndio haohao CCM
Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo....
Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba tunalisakata.
Sakata la sukari na Bashe jiii, bodi imetoa maelezo ya kipuuzi ndio imeisha hiyo.
Suala la binti wa Yombo, wamekamatwa vijana lakini mafia mwenyewe anafichwa fichwa, taratibuuu tushaanza kuachia.
Suala la watu kupotea hovyo, kariakoo vijana walikuwa wanachukuliwa akipatikana kashafika kwa Sir God, Sativa, Shadrack mpaka sasa hajulikani alipo, TLS imetoa list yake ya watu 83 waliotekwa, taratibu linaenda kuzimika.
Tumeletewa vya kutuzuga kwa muda; uteuzi na utenguzi, saivi kila sehemu ni kona ni Ummy na mwenzake aliyechukua nafasi hiyo mishipa ikitusimama kujadili alikotoa mganga wake🤦.
Huku Lissu kapokea mchango toka CCM, ni kutoka kwa wale wale anaowatuhumu kila siku kuwa watesi wao🤦.
Huo ni mwanzo tu, naona kuna bomu linakuja, na safari hii 'mama' atasepa na kijiji. Huku Makonda, kule Ole anarudishwa kwenye mfumo, mpaka tunakuja kushtuka kila kitu kimezikwa. Hao tunarudi kusubiri tuletewe kingine kama mazuzu.
Lini tutazinduka kwenye ujinga huu?
Endelea kusimamia werevu wako..😹😹😹 kijana wa hovyo, huoni hata haya kusimamia ujinga?
Tuko nao,kwani kazi za Ujenzi wa Taifa zinafanywa na mtu mmoja...Wewe na nani? Mboni umekuja pekeyako wenzio wapo wapi?
Mkuu unatukosea sana kuifananisha Yanga na CCM, futa kauli hiyo haraka sana. Bora hata ungesema Simba na CCM ni damu damuYanga ndio haohao CCM
Kijani na njanoMkuu unatukosea sana kuifananisha Yanga na CCM, fut kauli hiyo haraka sana. Bora hata ungesema Simba ni CCM ni damu damu
Unadhani hizi drama zinawasaidia ccm na wananchi?? Au ni dilly dallying tactics za kipumbavu ili walaji wa nchi waendelee kuwa kwenye comfort zone!Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo....
Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba tunalisakata.
Sakata la sukari na Bashe jiii, bodi imetoa maelezo ya kipuuzi ndio imeisha hiyo.
Suala la binti wa Yombo, wamekamatwa vijana lakini mafia mwenyewe anafichwa fichwa, taratibuuu tushaanza kuachia.
Suala la watu kupotea hovyo, kariakoo vijana walikuwa wanachukuliwa akipatikana kashafika kwa Sir God, Sativa, Shadrack mpaka sasa hajulikani alipo, TLS imetoa list yake ya watu 83 waliotekwa, taratibu linaenda kuzimika.
Tumeletewa vya kutuzuga kwa muda; uteuzi na utenguzi, saivi kila sehemu ni kona ni Ummy na mwenzake aliyechukua nafasi hiyo mishipa ikitusimama kujadili alikotoa mganga wake🤦.
Huku Lissu kapokea mchango toka CCM, ni kutoka kwa wale wale anaowatuhumu kila siku kuwa watesi wao🤦.
Huo ni mwanzo tu, naona kuna bomu linakuja, na safari hii 'mama' atasepa na kijiji. Huku Makonda, kule Ole anarudishwa kwenye mfumo, mpaka tunakuja kushtuka kila kitu kimezikwa. Hao tunarudi kusubiri tuletewe kingine kama mazuzu.
Lini tutazinduka kwenye ujinga huu?
Siku hiyo siasa itakapoamua ni zamu ya Simba kuchukua kombe la VPL kwa namna yoyote ile ili ku balance ndio utajua hujui.Bora nishabikie Yanga kuliko siasa zenu
Hiyo ni hatua moja katika makakati wa SGR kubinafsishwa.Mbona mtakoma safari hii
Sasa mnaambiwa SGR inahujumiwa na wanaopanda kwa buku
Halafu mtaambiwa faida ipatikane wapi kwa kukusanya buku buku muache kudandia bure