Hiyo Tenguzi na Teuzi za hao wengine ni geresha, ila Dhumuni ni Bashite kuwa Waziri kamili.
𝒀𝒆𝒚𝒆 𝑺𝒊𝒎𝒃𝒂𝒄𝒉𝒂𝒘𝒆𝒏𝒆 𝒌𝒘𝒂𝒏𝒊𝒏 𝒂𝒍𝒊𝒔𝒆𝒎𝒂 𝒉𝒂𝒇𝒖𝒓𝒂𝒉𝒊𝒔𝒉𝒘𝒊 𝒏𝒂 𝒏𝒂𝒎𝒏𝒂 𝒑𝒐𝒍𝒊𝒔𝒊 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒗𝒚𝒐𝒌𝒂𝒎𝒂𝒕𝒂 𝒘𝒂𝒉𝒂𝒍𝒊𝒇𝒖? 𝑯𝒂𝒌𝒖𝒋𝒖𝒂 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒗𝒊𝒍𝒆 𝒏𝒅𝒊𝒗𝒚𝒐 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒗𝒚𝒐𝒕𝒂𝒌𝒊𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂?Simbachawene kafanya nini tena? Mbona imekuwa mapema sana kutenguliwa kwake!
Tutamkoma Makonda master misifa au tuseme kuhamasisha AFCON kwa Tanzania imemfanya apate nafasi?
==================
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kutenguliwa ni kama ifuatavyo:-.
(i) Mhe. Patrobas Paschal Katambi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Katambi alikuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, anachukua nafasi ya Mhe. Boniface George Simbachawene (Mb.) ambaye uteuzi wake umetenguliwa;
(ii) Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum). Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Prof. Kabudi alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo;
(iii) Mhe. Paul Christian Makonda (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Makonda alikuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo;
(iv) Mhe. Dennis Lazaro Londo (Mb.) ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Londo alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi;
View attachment 3527178View attachment 3527177
Vipi Simbachawene kuachwaa? Kayatindinganya yepiiii??
Woiiiiiiiih!!!
Ameongea sana kuhusu haki na mabadiliko, wenyewe hawapendiHiyo Tenguzi na Teuzi za hao wengine ni geresha, ila Dhumuni ni Bashite kuwa Waziri kamili.
Vipi Simbachawene kuachwaa? Kayatindinganya yepiiii? Si juzi alikua na bosi mstaafu kule Baharini??
Au wametibuanaaaa?
Woiiiiiiiih!!!
Chawene ni kuwa na msimamo wa kuwadhibiti polisi na ukatili! Soft tone ya Chawene hakuipenda!Simbachawene kafanya nini tena? Mbona imekuwa mapema sana kutenguliwa kwake!
Tutamkoma Makonda master misifa au tuseme kuhamasisha AFCON kwa Tanzania imemfanya apate nafasi?
==================
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kutenguliwa ni kama ifuatavyo:-.
(i) Mhe. Patrobas Paschal Katambi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Katambi alikuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, anachukua nafasi ya Mhe. Boniface George Simbachawene (Mb.) ambaye uteuzi wake umetenguliwa;
(ii) Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum). Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Prof. Kabudi alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo;
(iii) Mhe. Paul Christian Makonda (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Makonda alikuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo;
(iv) Mhe. Dennis Lazaro Londo (Mb.) ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Londo alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi;
View attachment 3527178View attachment 3527177
Mkuu wewe ni mwanaume? haya ulioandika mwaka jana kuhusu makonda, leo kawa mwamba?Makonda mtu mbad.
Mwamba sana
Huyo hata ingekuwa mwaka hana maana yeyote yule.Habari za Waziri Rajabu Salimu Katibu wa rais kuteuliwa kuwa balozi zipo mtandaoni week ya pili sasa.
Je nani anavujisha taarifa nyeti za Ikulu.
Trump akiamua kumnyakua SSH atatumia sekunde moja tu?