PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
TOKA MAKTABA :

10 December 2025

Prof. Kabudi leo kapatikana, ka- panic sana kukutana na media huru ya kimataifa leo ya Doha, Qatar.

View: https://m.youtube.com/watch?v=5y4rd7_adv4
Intaneti kwa Dorothy Semu kiongozi wa ACT Wazalendo, mamlaka za TCRA walijaribu block lakini ameweza kuongea kwa utulivu kuliko Prof. Palamagamba Kabudi kucheua vifungu gandamizi vya sheria mbovu kutetea udhalimu na mauaji. Kabudi kakutana na mtangazaji wa Al Jazeera anayejua kiSwahili pale Prof. Kabudi alipojaribu kupindisha tamko kuwa kuna jaribio la kuangusha nchi lilotolewa na serikali haramu ya CCM kuwa maandamano yanataka kumpindua serikali




TOKA MAKTABA :


Bagamoyo fatilia juu ya Mkeremy alikuwa na cheo gani? Je uteuzi mpya kapanda au kashuka
 
Baada ya Ntobi Kusema kwamba kanda ya Ziwa hawana waziri ndio Saa100 akaamua kusawazisha mambo.. Taabu tupu kumukewa Patrobas wa Chadema.. huyu hafui dafu mambo ya ndani... ili waje waseme mtu wa Chadema kashindwa...
 
Hii serikali

Huyo hata ingekuwa mwaka hana maana yeyote yule.
Naona ana
Habari za Waziri Rajabu Salimu Katibu wa rais kuteuliwa kuwa balozi zipo mtandaoni week ya pili sasa.

Je nani anavujisha taarifa nyeti za Ikulu.

Trump akiamua kumnyakua SSH atatumia sekunde moja tu?
Huyu ni kama kupatiwa diplomat pass bila shaka
 
Ameletwa michezoni, wacha tumchezee sana na sanaa zake..
 
Baada ya Ntobi Kusema kwamba kanda ta Ziwa hawana waziri ndio Saa100 akaamua kusawazisha mambo.. Taabu tupu kumukewa Patrobas wa Chadema.. huyu hafui dafu mambo ya ndani... ili waje waseme mtu wa Chadema kashindwa...
Patrobas ni wa Ccm sio Chadema
 
Simbachawene kafanya nini tena? Mbona imekuwa mapema sana kutenguliwa kwake!

Tutamkoma Makonda master misifa au tuseme kuhamasisha AFCON kwa Tanzania imemfanya apate nafasi?
==================
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kutenguliwa ni kama ifuatavyo:-.

(i) Mhe. Patrobas Paschal Katambi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Katambi alikuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, anachukua nafasi ya Mhe. Boniface George Simbachawene (Mb.) ambaye uteuzi wake umetenguliwa;

(ii) Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum). Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Prof. Kabudi alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo;

(iii) Mhe. Paul Christian Makonda (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Makonda alikuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo;

(iv) Mhe. Dennis Lazaro Londo (Mb.) ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Londo alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi;

View attachment 3527178View attachment 3527177
Wangekua kobaz hao, makafir yangekuja juu lakn kobaz hawana neno kabsa kuhusu uteuz huu

Sasa subir uje mkeka kobaz wawe wengi ndo utajua makafir akil zao
 
Back
Top Bottom