Huyu mwamba amestaafu??Kabudi kaichukua kazi ya mkongwe aliyestaafu hivi karibuni. KAZI MAALUMU
MKUCHIKA
Ipo hivyo. Miezi kadhaa iliyopitaHuyu mwamba amestaafu??
Captain Mkuchika.
Is it my eyes??
Wajinga wanamwita huyu jambazi Samia eti rais?Samia anachekesha sana, anateua yeye kama nani fala huyu?
Bagamoyo fatilia juu ya Mkeremy alikuwa na cheo gani? Je uteuzi mpya kapanda au kashuka
JWTZ / TPDF ILIVYOSHIRIKI KUWEZESHA AMANI KWA MAJESHI YA SADC KUONDOKA CONGOkidiplomasia, kiusalama na kiulinzi n.k
Mtu aina ya simbachawene ni ngumu kufanya kazi na huyu mama.
Chawa ndivyo walivyo🤣Mkuu wewe ni mwanaume? haya ulioandika mwaka jana kuhusu makonda, leo kawa mwamba?
View attachment 3527185
Aliposema atabadili police force to police service nikajua tu huyu atapigwa chini mapema tu
Mimi nilikuwa naamini katika upinzani sikuwa mpinzani.Ulikua mpinzani sababu ya viongozi wa upinzani au ulikua mpinzani sababu kuna ambayo unaona hayaendi sawa serikalini?
Mfano Mimi napinga watu kuuwawa, napinga huduma mbovu afya,napinga ukosefu wa miundombinu. Kwa hiyo lissu kesho akihamia ccm na kuanza kuisifu ccm basi mimi napaswa kuacha hayo yote niliyokua nayapinga?
View: https://m.youtube.com/watch?v=6kbOCGyLAZI Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy akitania na lt col. Willy Ngoma msemaji wa M23
TPDF imetumwa operesheni nyingi nje ya mipaka ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kama DR Congo, Ushelisheli, Comoros, Mozambique, Zimbabwe halafu wakubali wahuni ndani ya Tanzania wawatumie kuumiza raia waTanzania hilo haliwezekani kwa mujibu wa dhima ya kuanzisha JWTZ kutoka jeshi malkia la kikoloni la Tanganyika Rifles King's African Rifle KRA,
TOKA MAKTABA:
TPDF / JWTZ ILIPOLETA AMANI MASHARIKI YA CONGO KWA NJIA YA KUKAA MEZANI
JWTZ / TPDF ILIVYOSHIRIKI KUWEZESHA AMANI KWA MAJESHI YA SADC KUONDOKA CONGO
View: https://m.youtube.com/watch?v=8CaXVcTyRJg
View attachment 3527204
Tanzania’s Major General Ibrahim Michael Mhona and Alliance fleuve Congo AFC military commander Major General Sultani Makenga sign the agreement on SADC troops’ withdraw, on Friday, March 28, 2025 during their meeting at Serena Hotel, in Goma DR Congo
View attachment 3527203
Serena Hotel Goma
Mazungumzo na maafikiano yaliyofikiwa yaleta furaha na pia matumaini mapya huku Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy akitania na lt col. Willy Ngoma msemaji wa M23
View: https://m.youtube.com/watch?v=6kbOCGyLAZI
👆
28 March 2025
Hoteli Serena Goma
Goma, DR Congo
Mpambe wa Magufuli , Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy katika ujumbe wa maafikiano Goma
View attachment 3527202
Naye aliyekuwa mpambe wa rais Magufuli , Meja Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy mwenye Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Eneo lake la utafiti lilikuwa ni “Assessing the Effectiveness of the United Nations Peacekeeping Operations: The case of Democratic Republic of Congo and Sudan. Aonekana katika timu iliyofanikisha muafaka wa kuwezesha majeshi ya SAMIDRC kuondoka DR Congo.
Meja Jenerali Dr. Mbaraka Naziad Mkeremy alifanikiwa kutetea andiko lake na kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa (Doctor of Philosophy-PhD) wa usuluhishi (peacekeeping) tarehe 14 Disemba 2023 .
Na sasa umahiri wake katika eneo hilo la kisomi ametumika vyema na timu ya wapatanishi wa SADC kufanikisha mkwamo kuondoka na kuwezesha mazingira ya majeshi ya SADC SAMIDRC kuondoka Congo DR salama..
View: https://m.youtube.com/watch?v=MgdGyWZg9Cs
The New Times
https://www.newtimes.co.rw
DR Congo crisis: M23 agrees to facilitate SADC troops withdraw
28 Mar 2025 — Tanzania's Maj Gen Ibrahim Michael Mhona and Alliance fleuve Congo military commander Maj Gen Sultani Makenga sign the..
hicho cheo cha cdi kina connection yoyote na oktoba 29?Mbaraka Naziad Mkeremy is a high-ranking officer in the Tanzania People's Defence Forces (TPDF), holding prominent roles like Chief of Defence Intelligence, representing the TPDF at international forums, and previously serving as Deputy Commandant of the Command and Staff College Duluti, known for his work in intelligence, peacekeeping, and academic pursuits (PhD) within the military structure.
Key Roles & Activities:
- Intelligence: Served as the Chief of Defence Intelligence (CDI) for the TPDF, focusing on intelligence sharing and partnerships, including with U.S. Africa Command (AFRICOM).
- Peacekeeping: Involved in military peacekeeping training and policy discussions, such as the UN Human Rights Due Diligence Policy (HRDDP) in the DRC.
- Academic: Pursued a PhD and co-authored academic work related to peacekeeping operations, demonstrating a blend of field experience and theoretical understanding.
- Leadership: Held positions such as Deputy Commandant at the CSC Duluti and represented the TPDF at high-level international meetings.
Hukua mpinzani? Mwanzo umeniambia ulikua mpinzani. Mbona hueleweki?Mimi nilikuwa naamini katika upinzani sikuwa mpinzani.
Mpinzani ni yule ambaye real kabisa huwa kiongozi na anapigania kuwa kiongozi wa serikali kwa ngazi ya kijimbo, kata au TAIFA.
Ningekuwa kiongozi wa upinzani still ningeendelea kuwa mpinzani ila siwezi kuendelea kuamini katika upinzani mfu ambao unacheza kila ngoma.
Huwezi kuwatoa CCM madarakani kwa kudandia kila jambo.
CCM wakikuona mjinga wa hivyo watakuletea propaganda mpaka uzeeke ili kila siku udandie mada
Hilo ni bwabwq akili zake ziko backsideUlikua unashusha matusi yote haya kwa makonda, vipi mbona leo kawa mwamba?
View attachment 3527188
View attachment 3527189
View attachment 3527190
View attachment 3527192
View attachment 3527193
Simbachawene kafanya nini tena? Mbona imekuwa mapema sana kutenguliwa kwake!
Tutamkoma Makonda master misifa au tuseme kuhamasisha AFCON kwa Tanzania imemfanya apate nafasi?
==================
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kutenguliwa ni kama ifuatavyo:-.
(i) Mhe. Patrobas Paschal Katambi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Katambi alikuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, anachukua nafasi ya Mhe. Boniface George Simbachawene (Mb.) ambaye uteuzi wake umetenguliwa;
(ii) Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum). Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Prof. Kabudi alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo;
(iii) Mhe. Paul Christian Makonda (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Makonda alikuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo;
(iv) Mhe. Dennis Lazaro Londo (Mb.) ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Londo alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi;
View attachment 3527178View attachment 3527177