PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mimi nilikuwa mpinzani mwenye kuzingatia hoja na sera.
Baada ya viongozi wa upinzani kuwaunga mkono Gwajima na Polepole ndipo nikaacha kabisa mambo ya ant government.
Wapinzani wasiojielewa, wanaocheza kila ngoma utawaunga vipi mkono?
Ni bora niiunge mkono serikawli yote kuliko kuwa upande usiojielewa .
Hivi mtu mwenye akili timamu atamwonaje Polepole na Gwajima kuwa ni shujaa?.
Yaani dk 2 tu wapinzani walisahau uhuni wa Gwajima na Polepole.
HAPANA.
Nitamuunga mkono Rais na serikali yake yote kwa kila hali
 
Baada ya Ntobi Kusema kwamba kanda ta Ziwa hawana waziri ndio Saa100 akaamua kusawazisha mambo.. Taabu tupu kumukewa Patrobas wa Chadema.. huyu hafui dafu mambo ya ndani... ili waje waseme mtu wa Chadema kashindwa...
2020 kuna barua ilivuja DGIS akimuandikia Katibu Mkuu kiongozi kuwa vijana wengi wanatoka kule kwenda kugombea ubunge moja ya majina ilikua la huyo bwana kwahiyo hayupo hapo kwa uchadema wake bali kwa utumishi wake kule kwingine.
 
Anawatoa wakatoliki kimtindo ila hatofanikiwa samuya
 
Baada ya Ntobi Kusema kwamba kanda ta Ziwa hawana waziri ndio Saa100 akaamua kusawazisha mambo.. Taabu tupu kumukewa Patrobas wa Chadema.. huyu hafui dafu mambo ya ndani... ili waje waseme mtu wa Chadema kashindwa...
Hizi sifa za kijinga, ntobi ni nani mpaka raisi afanye uteuzi kulingana na anachosema ntobi?

Hata hivyo Kama ntobi alisema hivyo basi hakuwa sahihi, watu wa kanda ya ziwa walikuwemo kwenye uwaziri ,mfami ni waziri wa ulinzi Rhimo Nyansaho, Waziri wa uvuvi bashiru Ally
 
Mh.Simbachwn Tangu siku aanze kusema askari wavae uniform kukamata watu , na vtu vidogo vidogo vicwe kosa kiuchochezi , siku zake zilianz kuhesabik
 
MUNGU FUNDI HAJAWAHI KUSHINDWA WOOOH LVE U LORD WILL CONT TO TRUST U FOREVER N EVER
WATU WAMETOKA MBALI NA MUNGU WAOO ACHENI KAMA VIRUNGU VILOTEMBEZWA SANA

.....leo kawa boss wa mapolisi, Nikikumbuka enzi hizo polisi wanampiga virungu😂
 
Mimi nilikuwa mpinzani mwenye kuzingatia hoja na sera.
Baada ya viongozi wa upinzani kuwaunga mkono Gwajima na Polepole ndipo nikaacha kabisa mambo ya ant government.
Wapinzani wasiojielewa, wanaocheza kila ngoma utawaunga vipi mkono?
Ni bora niiunge mkono serikawli yote kuliko kuwa upande usiojielewa .
Hivi mtu mwenye akili timamu atamwonaje Polepole na Gwajima kuwa ni shujaa?.
Yaani dk 2 tu wapinzani walisahau uhuni wa Gwajima na Polepole.
HAPANA.
Nitamuunga mkono Rais na serikali yake yote kwa kila hali
Ulikua mpinzani sababu ya viongozi wa upinzani au ulikua mpinzani sababu kuna ambayo unaona hayaendi sawa serikalini?

Mfano Mimi napinga watu kuuwawa, napinga huduma mbovu afya,napinga ukosefu wa miundombinu. Kwa hiyo lissu kesho akihamia ccm na kuanza kuisifu ccm basi mimi napaswa kuacha hayo yote niliyokua nayapinga?
 
Back
Top Bottom