PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Habari za Waziri Rajabu Salimu Katibu wa rais kuteuliwa kuwa balozi zipo mtandaoni week ya pili sasa.

Je nani anavujisha taarifa nyeti za Ikulu.

Trump akiamua kumnyakua SSH atatumia sekunde moja tu?
.
 
Wanatoa yale yale mapimbi wanarudisha maviazi yaleyale

viongozi ni walewale wanapeana kwa kujuana!
 
Wenye hekima hawatakiwi kabisa. Hata VP hatakiwi ila basi tu. Huyu Chawene alitaka aanze kuzivuta roho za watanganyika kwake kwa kuwakemea PT.
 
Kipindi AI hazipo ilikua patashika, wazi wazi, mchana mchana kweupeee, na sasa kuna AI 🤔🤭🤣🤣🤣🤣 SIJUI ITAKUAJE
 
Simbachawene amemkosea nini Samuya, mbona kamweka bench
Alianza kujifanya hataki namna kundi la Samia la watu wasiojulia
Mimi nilikuwa naamini katika upinzani sikuwa mpinzani.
Mpinzani ni yule ambaye real kabisa huwa kiongozi na anapigania kuwa kiongozi wa serikali kwa ngazi ya kijimbo, kata au TAIFA.
Ningekuwa kiongozi wa upinzani still ningeendelea kuwa mpinzani ila siwezi kuendelea kuamini katika upinzani mfu ambao unacheza kila ngoma.
Huwezi kuwatoa CCM madarakani kwa kudandia kila jambo.
CCM wakikuona mjinga wa hivyo watakuletea propaganda mpaka uzeeke ili kila siku udandie mada
ccm hawana akili hiyo, usijifanye wanapanga hivyo ili watawale. Ccm wako madarakani hadi leo kwa mbeleko ta vyombo vya dola. Hivyo usitake kuwapa sifa wasiyokuwa nayo.
 
Kipindi anateua kelele dhidi ya mauaji zilikuwa nyingi. Ndani na nje ya nchi ilikuwa spanner tupu
Hii mbona kama anajitukana mwenyewe ( anajipiga mawe mwenyewe ). Anaway Kila jambo lina mwisho wake, tukae tule popcorn 🍿 movie 🎥 laendelea
 
Kusema polisi waongezewe posho,marufuku polisi kukamata watu bila kuvaa sare.....
 
Nimefurahishwa sana kutenguliwa Kwa Gorge simbachawene japo alikuwa waziri batili katika serikali batili. Anajiona sana mbwa huyu.


Simbachawene kafanya nini tena? Mbona imekuwa mapema sana kutenguliwa kwake!

Tutamkoma Makonda master misifa au tuseme kuhamasisha AFCON kwa Tanzania imemfanya apate nafasi?
==================
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kutenguliwa ni kama ifuatavyo:-.

(i) Mhe. Patrobas Paschal Katambi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Katambi alikuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, anachukua nafasi ya Mhe. Boniface George Simbachawene (Mb.) ambaye uteuzi wake umetenguliwa;

(ii) Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum). Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Prof. Kabudi alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo;

(iii) Mhe. Paul Christian Makonda (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Makonda alikuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo;

(iv) Mhe. Dennis Lazaro Londo (Mb.) ameteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Londo alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi;

View attachment 3527178View attachment 3527177
 
Leo watu wanamsifia Simbachawene 🤣🤣🤣 hao hao juzi tu walikuwa wanamuita waziri batili hawataki drama zake
 
Wangekua kobaz hao, makafir yangekuja juu lakn kobaz hawana neno kabsa kuhusu uteuz huu

Sasa subir uje mkeka kobaz wawe wengi ndo utajua makafir akil zao
Kuna mwaka teuzi Moja ilijaa Waislamu Wagalatia walilalama sana humu wakati tokea uhuru wao wanetawala kila sekta
 
Shida Chawene anakiuka Law na 1 ya Bwana Bob Greene kwenye kitabu chake cha The 48 Laws of Power!

 Anaongea sense hadi anawa-bore!!

Kila wakati anazungumzia mabadiliko ndani ya jeshi la polisi,wenyewe hawataki ionekane kuna shida huko!
Exactly 💯
 
Back
Top Bottom