Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Nafikiri anaomba na si kila aombaye hupata anachokiomba!Huyu Kibaka anakuwaje sijui. Anawapangia chadema la kufanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri anaomba na si kila aombaye hupata anachokiomba!Huyu Kibaka anakuwaje sijui. Anawapangia chadema la kufanya?
Dini ya kiislam mfumo wake huo. Hata uwe rais wa dunia madhali ni muislamu mfumo ndio huo. Binadam akishakufa ni mzoga tu. Hata mbwa hautaki mzoga wa binaadam unavyonukaNdugu zako wote waliokufa mukiwazika kwa mfumo huo au unaongea kwa mujibu wa dini yenu?
Nimekuuliza ndugu zako waliofariki kwenye ukoo wenu munawazika kwa mfumo huo?Dini ya kiislam mfumo wake huo. Hata uwe rais wa dunia madhali ni muislamu mfumo ndio huo. Binadam akishakufa ni mzoga tu. Hata mbwa hautaki mzoga wa binaadam unavyonuka