Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

Ndugu zako wote waliokufa mukiwazika kwa mfumo huo au unaongea kwa mujibu wa dini yenu?
Dini ya kiislam mfumo wake huo. Hata uwe rais wa dunia madhali ni muislamu mfumo ndio huo. Binadam akishakufa ni mzoga tu. Hata mbwa hautaki mzoga wa binaadam unavyonuka
 
Nimekuuliza ndugu zako waliofariki kwenye ukoo wenu munawazika kwa mfumo huo?
 
Back
Top Bottom