Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

Atuondolee upuuzi wake hapa yeye ni mc tu wa CCM hana ubavu wa kuwaambia nini cha kufanya vyama vingine,akatulize kalio lake huko kama linamuwasha


Lakini ndio kashawaambia and words once spoken can never be reversed.


Nimependa uthubutu wake.
 
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa.

Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha ziara yake iliyobakiza mikoa miwili kuwa, Mzee Lowassa ametoa mchango mkubwa kwa Chadema hivyo ni wakati sasa wa kuenzi mema aliyokitendea chama hicho.

Lowassa ametoa mchango mkubwa kwenu hasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hivyo naowaomba Chadema kusitisha shughuli zenu za kisiasa ili kushiriki mazishi ya Lowasa na msiba ukiisha tutarudi tena vitani.

Credit - CloudsTv
Yanamhusu nini?
Mbona anapenda sn kuwafuatilia?
Kwani wao hawaelewi Cha kufanya?
 
Anataka kujifanya ndio msemaji wa vyama vyote. Cdm wanafanya wanachoona kinawafaa, na sio wanachoagizwa na msemaji wa ccm. Isitoshe Lowassa ndio alirukia mafanikio ya cdm, na Wala sio aloyeisaidia sana cdm kwa kura walizopata. Kama kura zile angekuwa amepata akiwa TLP hapo sawa.

[emoji1787]

Kweli shukrani ya Punda …..
 
Lowassa alikuja kuharibu haiba ya cdm. Kama kweli aliwasaidia akiwa na miezi miwili, aliwasaidia Nini alipokaa miaka miwili? Acheni upotoshaji wa kijinga mkidhani hatujui ukweli. Alaaniwe Mbowe na genge lake kwa kumpokea huyo tapeli wa siasa.

“Alaaniwe Mbowe na Genge lake….


Now we are talking. Hilo Genge hilo!
 
Sanaaaa. [emoji1787]


Anajua kuwajaza.
Hakuna hata mkutano wake mmoja ambao hajawataja Chadema, Mbowe na Tundu Lissu lakini wao hawajawahi kumjibu. Wamempuuza na hilo jambo linampa shida sana nyamitako ndiyo maana haishi kuwachokoza. Kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mpumbavu kama makonda.
 
Hakuna hata mkutano wake mmoja ambao hajawataja Chadema, Mbowe na Tundu Lissu lakini wao hawajawahi kumjibu. Wamempuuza na hilo jambo linampa shida sana nyamitako ndiyo maana haishi kuwachokoza. Kukaa kimya ni jibu zuri sana kwa mpumbavu kama makonda.


Uko sahihi.

Lakini wakati mwingine Ukimya Una maana kwamba huna majibu na hujui ujibu nini ama unaogopa kujibu.
 
Uko sahihi.

Lakini wakati mwingine Ukimya Una maana kwamba huna majibu na hujui ujibu nini ama unaogopa kujibu.
Wewe unaamini kweli vijembe vya kijiweni anavyotoa zero brain vinastahili kujibiwa na watu wazima? Mbona hoja alizotoa Mzee Kinana Lissu alizijibu tena kifupi na zikamletea shida mzee Kinana mbele ya wenzake hadi wakaingilia interview ya Wasafi isifanyike. Watu kaliba ya Lissu na Mbowe kujibu upuuzi wa makonda ni kumpa hadhi asiyostahili. Huyu tunamalizana naye huku huku kitaa.
 
Huyu Kibaka anakuwaje sijui. Anawapangia chadema la kufanya?
Nyie CHADEMA bila kualikwa mnaweza changisha watu Hela za kwenda Monduli.

Makonda hongera na Nina uhakika kwa mwaliko wako hao Nyumbu watakuja msibani!
 
Back
Top Bottom