Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

Makonda awaomba CHADEMA kusitisha shughuli zao za kisiasa, kuomboleza kifo cha Lowassa

Kulamba asali na kupigia debe katiba mpya...
Embu fafanua hapo kulamba asali kwa maana katiba hata yeye mwenyewe hajuia anachopigania ndio alidiriki kutaka kuwepo na wabunge wawili kila jimbo la uchanguzi
 
Sawa ,umepata shahada baada ya kutukana ,tunaposema hiki chama ni cha wahuni angalia hata lugha wanazotumia hawa kenge kwenye mitandao ,sio ajabu na wewe unaitwa baba flani[emoji2297][emoji2297]
Wewe kuwaita mamilioni ya watu wahuni hujaona kuwa ni tusi? Ndiyo naitwa baba fulani hata wewe kama mumeo hadi leo hajakutia mimba njoo nikupe usije ukafa bila kunyonyesha mtoto. Sawa sawa?
 
Embu fafanua hapo kulamba asali kwa maana katiba hata yeye mwenyewe hajuia anachopigania ndio alidiriki kutaka kuwepo na wabunge wawili kila jimbo la uchanguzi

Asali ni takrima inayotoka CCM kwenda kwa wapinzani wakiwemo Chadema, mfano wa asali ni ruzuku...

Mathalani, Mzee Kinana kaongea juzi hapa namna ambavyo CCM ilivyoamua kutoa favors kwa wapinzani hususani Chadema kwenye mgao wa ruzuku (ingawaje ni utaratibu wa kisheria)...

Asali nyingine ni kufutwa kwa kesi za kubambikiwa ambazo CCM imekiri ilikuwa ni masterminder wa mchongo mzima wa kesi kadha wa kadha...
 
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa.

Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha ziara yake iliyobakiza mikoa miwili kuwa, Mzee Lowassa ametoa mchango mkubwa kwa Chadema hivyo ni wakati sasa wa kuenzi mema aliyokitendea chama hicho.

Lowassa ametoa mchango mkubwa kwenu hasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hivyo naowaomba Chadema kusitisha shughuli zenu za kisiasa ili kushiriki mazishi ya Lowasa na msiba ukiisha tutarudi tena vitani.

Credit - CloudsTv
YEYE KAMA NANI AWAAGIZE CHADEMA? MBONA ALIWAHI KUSEMA CHADEMA HAIPO HAKUNA CHAMA CHA UPINZANI Tanzania? Ukiwa muongo usiwe msahalifu
 
Ngoma ikivuma sana ujue inakaribia kupasuka. Makonda naye anakaribia kupasuka.
 
Muislam yeye msiba kwake siku 1 baada ya kuzika kila kitu Kama kawaida
Wewe nae ni hauna jambo lingine ni Muislam Muislam Muislam umewazidi hadi wa Saudi Arabia 🇸🇦, sasa hivi wana promote mpira tuu.
 
Mie naona kazungumzia jambo la maana sana,Marehemu Lowassa amefanya makubwa nchi hii,aliwahi kugombea urais kupitia ticket ya Chadema,Bila shaka Chadema wanalijua hili na wataungana na taifa kuomboleza na kushiriki kikamilifu katika mazishi yake.
 
Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM Paul Makonda amekiomba Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kusitisha shughuli zao za kisiasa ili kuungana na CCM kuombeleza msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyayi Lowasa.

Makonda amesema mjini Songea Mkoani Ruvuma wakati akiahirisha ziara yake iliyobakiza mikoa miwili kuwa, Mzee Lowassa ametoa mchango mkubwa kwa Chadema hivyo ni wakati sasa wa kuenzi mema aliyokitendea chama hicho.

Lowassa ametoa mchango mkubwa kwenu hasa katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, hivyo naowaomba Chadema kusitisha shughuli zenu za kisiasa ili kushiriki mazishi ya Lowasa na msiba ukiisha tutarudi tena vitani.

Credit - CloudsTv
Mwambie aache kiherehere na pia kupenda kujipendekeza hovyo. Hao Chadema ni watu wazima na wanajua wanachokifanya.
 
Mie naona kazungumzia jambo la maana sana,Marehemu Lowassa amefanya makubwa nchi hii,aliwahi kugombea urais kupitia ticket ya Chadema,Bila shaka Chadema wanalijua hili na wataungana na taifa kuomboleza na kushiriki kikamilifu katika mazishi yake.
Yeye kalisema kuikejeli Chadema, mikutano yake yote lazima aitaje Chadema,Mbowe na Lissu,nao viongozi wa Chadema wamempuuza hawamjibu sasa anajisikia vibaya kupuuzwa ndiyo maana anaweweseka. Chadema tangu jana kwenye ofisi zao bendera inapepea nusu mlingoti. Mzee Lowasa alikuja Chadema na kuondoka bila kuisema vibaya Chadema hivyo bado wanamheshimu tofauti na yule Mr. Zero Sumaye aliyeondoka baada kushindwa kwenye uchaguzi wa Kanda ya Mashariki. R I P [emoji992] Mzee Lowasa.
 
Uislam ndio kila kitu
Maamuma ustaadh manyalia sugu
FB_IMG_1700579192159.jpg
 
Back
Top Bottom