Moja kati ya kitunaamini kinamtesa Mbowe ni hiloLowassa alikuja kuharibu haiba ya cdm. Kama kweli aliwasaidia akiwa na miezi miwili, aliwasaidia Nini alipokaa miaka miwili? Acheni upotoshaji wa kijinga mkidhani hatujui ukweli. Alaaniwe Mbowe na genge lake kwa kumpokea huyo tapeli wa siasa.