Makonda awaonya Wastaafu wanaowashwa washwa! Awaelekeza kulea Wajukuu zao...

Makonda awaonya Wastaafu wanaowashwa washwa! Awaelekeza kulea Wajukuu zao...

Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa...
Screenshot_2023-11-01-18-42-12-1.png
 
Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa.

Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
 
Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa...
Huyu kijana dah!Yaani mtu akistaafu ana-cease kuwa raia na haki zake zote za kikatiba ana relinquish.Samia Samia,umetuletea CCM mtu gani huyu?Tuondolee haraka,come-on,CCM sio yako peke yako..............!
 
Uongozi wa Magufuli ni ngoma iliyovuma sana na ilipasuka na katika mpasuko wa ngoma huyu bwana ni chupuchupu.

Kwani hamna funzo alilopata atubu na aishi vizuri na watu.

hichi anachofanya ni kurudi kule kule na hawezi kupata uimara ule tena kwa sababu mkuu wake wa zamani alikuwa strong kwenye misimamo kuliko huyu wa sasa.

Asijiamini sana hayuko salama sana kiasi kile tena

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Katibu wa itikadi na uenezi mheshimiwa paul makonda leo amepokelewa mji mkuu wa tanzania mkoani Dodoma na maelfu ya wanachama wa ccm ambapo katika mapikezi hayo ameenda hadi ofisi za chama kwa ajiri ya majukumu ya kazi zake hata hivyo amewaasa wastaafu kuacha kuwashwawashwa kwa nyakati hizi ambazo raisi anatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi kwani kuongeaongea huku wakijuwa ni wastaafu wanafanya raisi ashindwe kutekeleza majukumu yake hata hivyo amesema kama kuna mstaafu anamchango wowote wa kumshauri raisi milango ipo wazi na siyo kwenda kumuongelea pembeni.

Mwenezi huyo ameenda mbali kwa kusema wapo vijana wameajiriwa mitandaoni wanatumwa na watu wenye fedha kutukana viongozi wa serikali anawajuwa hivyo amesema hatosita kuwataja hadharani kwani hata wauzaji wa dawa za kulevya aluwataja hadharani bila kusit

Maoni yangu kwa vijana hao ni bora wakajitafakari na kuacha tabia hiyo kwani kufanya hivyo hatua kali zinaweza kuchukuliwa dhidi yao , demokrasia ya matusi haipo katika serikali yoyote duniani


Usiku mwema.
 
Back
Top Bottom