raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Chuma kinatema cheche
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
safi ngoja awatukane, wamemuendekeza. kwanini wasimkatalie samia kuwa hii hapana, makonda hapana!Katibu wa itikadi na uenezi mheshimiwa paul makonda leo amepokelewa mji mkuu wa tanzania mkoani Dodoma na maelfu ya wanachama wa ccm ambapo katika mapikezi hayo ameenda hadi ofisi za chama kwa ajiri ya majukumu ya kazi zake hata hivyo amewaasa wastaafu kuacha kuwashwawashwa kwa nyakati hizi ambazo raisi anatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi kwani kuongeaongea huku wakijuwa ni wastaafu wanafanya raisi ashindwe kutekeleza majukumu yake hata hivyo amesema kama kuna mstaafu anamchango wowote wa kumshauri raisi milango ipo wazi na siyo kwenda kumuongelea pembeni.
Mwenezi huyo ameenda mbali kwa kusema wapo vijana wameajiriwa mitandaoni wanatumwa na watu wenye fedha kutukana viongozi wa serikali anawajuwa hivyo amesema hatosita kuwataja hadharani kwani hata wauzaji wa dawa za kulevya aluwataja hadharani bila kusit
Maoni yangu kwa vijana hao ni bora wakajitafakari na kuacha tabia hiyo kwani kufanya hivyo hatua kali zinaweza kuchukuliwa dhidi yao , demokrasia ya matusi haipo katika serikali yoyote duniani
Usiku mwema.
Ngoja awadhihaki, wamempenda wenyewe. Kwanini wasimkatalie samia kuwa hili hapanaUenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa...
Anaambiwa Warioba, siyo?Katibu wa itikadi na uenezi mheshimiwa paul makonda leo amepokelewa mji mkuu wa tanzania mkoani Dodoma na maelfu ya wanachama wa ccm ambapo katika mapikezi hayo ameenda hadi ofisi za chama kwa ajiri ya majukumu ya kazi zake hata hivyo amewaasa wastaafu kuacha kuwashwawashwa kwa nyakati hizi ambazo raisi anatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi kwani kuongeaongea huku wakijuwa ni wastaafu wanafanya raisi ashindwe kutekeleza majukumu yake hata hivyo amesema kama kuna mstaafu anamchango wowote wa kumshauri raisi milango ipo wazi na siyo kwenda kumuongelea pembeni.
Mwenezi huyo ameenda mbali kwa kusema wapo vijana wameajiriwa mitandaoni wanatumwa na watu wenye fedha kutukana viongozi wa serikali anawajuwa hivyo amesema hatosita kuwataja hadharani kwani hata wauzaji wa dawa za kulevya aluwataja hadharani bila kusit
Maoni yangu kwa vijana hao ni bora wakajitafakari na kuacha tabia hiyo kwani kufanya hivyo hatua kali zinaweza kuchukuliwa dhidi yao , demokrasia ya matusi haipo katika serikali yoyote duniani
Usiku mwema.
Nikishalisema hili,nia Ilikuwa kuzika discussion for important issues za kitaifa ,and they seem to succeed.Jamaa comments zake ni very contravercial,obviously calculated ku-create anger na hivo kuleta heated debate.Tumeshaingia kwenye 18 za CCM AJENDA ZOTE tumesahaulishwa (DP World, Wamasai, CAG report , kesi za Serekali EURO) kila mtu anazungumzia kauli za Makonda.. tumeamua kucheza ngoma CCM..🙌🙌🙌
Anakoendea ataanza kumpa maelekezo hata kila aliyemzidiNasikia kasema kuanzia leo mawaziri wote watoe ripoti kwake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dijei walete
Katibu wa itikadi na uenezi mheshimiwa paul makonda leo amepokelewa mji mkuu wa tanzania mkoani Dodoma na maelfu ya wanachama wa ccm ambapo katika mapikezi hayo ameenda hadi ofisi za chama kwa ajiri ya majukumu ya kazi zake hata hivyo amewaasa wastaafu kuacha kuwashwawashwa kwa nyakati hizi ambazo raisi anatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi kwani kuongeaongea huku wakijuwa ni wastaafu wanafanya raisi ashindwe kutekeleza majukumu yake hata hivyo amesema kama kuna mstaafu anamchango wowote wa kumshauri raisi milango ipo wazi na siyo kwenda kumuongelea pembeni.
Mwenezi huyo ameenda mbali kwa kusema wapo vijana wameajiriwa mitandaoni wanatumwa na watu wenye fedha kutukana viongozi wa serikali anawajuwa hivyo amesema hatosita kuwataja hadharani kwani hata wauzaji wa dawa za kulevya aluwataja hadharani bila kusit
Maoni yangu kwa vijana hao ni bora wakajitafakari na kuacha tabia hiyo kwani kufanya hivyo hatua kali zinaweza kuchukuliwa dhidi yao , demokrasia ya matusi haipo katika serikali yoyote duniani
Usiku mwema.
Gwajima hajafungwa hadi leo, why?Katibu wa itikadi na uenezi mheshimiwa paul makonda leo amepokelewa mji mkuu wa tanzania mkoani Dodoma na maelfu ya wanachama wa ccm ambapo katika mapikezi hayo ameenda hadi ofisi za chama kwa ajiri ya majukumu ya kazi zake hata hivyo amewaasa wastaafu kuacha kuwashwawashwa kwa nyakati hizi ambazo raisi anatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi kwani kuongeaongea huku wakijuwa ni wastaafu wanafanya raisi ashindwe kutekeleza majukumu yake hata hivyo amesema kama kuna mstaafu anamchango wowote wa kumshauri raisi milango ipo wazi na siyo kwenda kumuongelea pembeni.
Mwenezi huyo ameenda mbali kwa kusema wapo vijana wameajiriwa mitandaoni wanatumwa na watu wenye fedha kutukana viongozi wa serikali anawajuwa hivyo amesema hatosita kuwataja hadharani kwani hata wauzaji wa dawa za kulevya aluwataja hadharani bila kusit
Maoni yangu kwa vijana hao ni bora wakajitafakari na kuacha tabia hiyo kwani kufanya hivyo hatua kali zinaweza kuchukuliwa dhidi yao , demokrasia ya matusi haipo katika serikali yoyote duniani
Usiku mwema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli jiko limepata mpishi....[emoji23]
Ni mchemso kwa kwenda mbele....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Go Nyamitako goooo
Muda utasema tuWacha inyeshe. Ila atayakanyaga
Kazi ndo imeanzaUenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa...
Hivo askofu Gwaji boy yupo kweli?Wataalam na watangulizi wetu wenye akili walishasema, sifuri ukizidisha ama kugawanya na chochote jibu bado ni sifuri. Kwa maana kwamba bashite ni sifuri, hakuna cha maana kitakachosemwa na sifuri kikawa na maana.